๐— ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐——๐—ฃW ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐˜‚๐—ฑ๐—ต๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ผ ๐—ป๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ wao

CHADEMA walififisha Juhudi za Watanganyika.

Wakati sakata hili limefikia juu, CHADEMA kwa kimbelembele chao wakafunika mijadala na hoja ya kupinga Mkataba huu, kwa kujiingiza kwenye siasa za Kufukuzana na Makaburi.

Pia, walisitisha ushirikiano waliokubaliana kuutoa kwa Adv. Mwabukusi, DkT. Slaa na Sauti ya Watanganyika kwa sababu tu za Kibinafsi za Uongozi wa Juu wa Chama. Huo ni Usaliti kwa Nchi.

Watanzania hatuta wasahau CHADEMA kwa kuliboronga suala hili, itoshe kusema na wana CCM wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine pamoja na vibaraka na mawakala wa mabeberu katika Uuzwaji huu haramu wa Rasilimali kuu ya Taifa.

Hakika mlaaniwe.
 
Somo kwa โ€˜bi-tozoโ€™ na maraisi watakao mfuatia hawa ndio watanzania.

Poyoyo mmoja anaweza andika ujinga kutoka kichwani kwake kuhusu income ya shirika ni mijitu ikadhani ana hoja.

Hata hiyo accounting software aiwezi kukupa daily update ya makusanyo iwapo kodi za serikali zinakuwa verified na system nyingine.

Worst alichoweka mleta mada kama sehemu ya ushahidi wake wa records za makusanyo (on bookkeeping entries) ni image ambayo yenye maelezo mengine kabisa na accounting records.

Mtu kajiwekea tu image na kuandika ujinga kama evidence.

Sasa kuna watu wamempa likes kwa huo upuuzi aliondika mleta and gullible enough to support that nonsense.

Ndio โ€˜bi-tozoโ€™ aelewe kuwaletea maendeleo watanzania ni kazi ya kujitolea unaweza tukanwa kwa habari zisizo na kichwa wala miguu.
 
Kwaheri Bandari zetu
 
Yaani accusation za mleta mada na huo ushahidi wake alioweka ni vitu viwili tofauti.

Na kuna watu wameamini huyo pimbi kaandika vitu vya maana.

Halafu kuna watu huko serikalini wanamuda kabisa wakuangaika na sampuli ya mdude.

Surely mods this is one of those posts which require Jamii Checks.
 
Hakika
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Mdude unapotosha kwa makusudi
Rais ana nguvu gani? Kuna bunge la Tanzania limebariki. Kama unavyosema ndio hivyo Kuna haja gani bodi ya mkopo kusomesha vijana wa Tanzania bara? Maana bunge ndio chenye nguvu nchini
Wewe ndiye unayejitoa akili! lile bunge lililoingizwa na rais ni mali ya Rais! Mdude yuko sahihi SSH ndiye mtuhumiwa namba moja!! Go Mdude goo!
 
Wewe kichwa cha ndege niliyetegemea ungekuja hapa! Kwa vile wewe ni mrupo wa waarubu wahead! Nijibu nikusambaratishe msambwa rubbish!
 
unasema upo tayari kwa lolote?

tafsiri ya maneno haya ni nini?
Anaelewa na amejitanabaisha kwa majina halisi yanayojulikana kote! Anajielewa na amepitia mengi! Wewe na kenge wenzio mliojificha kwenye zulia la DPW ndio wakutoa tafsiri kwa nini hamumwelewi!
 
Sasa tunalialia Nini? Si tundamane hadi waondoke kwenye ardhi yetu watuachie urithi
 
Kwaiyo huyu na hayati nani unamkubali?
 
Punguza utoto
 
Wewe kichwa cha ndege niliyetegemea ungekuja hapa! Kwa vile wewe ni mrupo wa waarubu wahead! Nijibu nikusambaratishe msambwa rubbish!
Kumbe unataka nikujibu ndiyo nikupe umaarufu?
 
๐Ÿค”๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ