Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaheri Bandari zetuTayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.
1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.
2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.
3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.
4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.
Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.
Mungu bariki Tanganyika.
Mungu bariki Zanzibar.
Mungu bariki Tanzania.
Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
HakikaTayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.

"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.
1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.
2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.
3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.
4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.
Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.
Mungu bariki Tanganyika.
Mungu bariki Zanzibar.
Mungu bariki Tanzania.
Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
Wewe ndiye unayejitoa akili! lile bunge lililoingizwa na rais ni mali ya Rais! Mdude yuko sahihi SSH ndiye mtuhumiwa namba moja!! Go Mdude goo!Mdude unapotosha kwa makusudi
Rais ana nguvu gani? Kuna bunge la Tanzania limebariki. Kama unavyosema ndio hivyo Kuna haja gani bodi ya mkopo kusomesha vijana wa Tanzania bara? Maana bunge ndio chenye nguvu nchini
Wewe kichwa cha ndege niliyetegemea ungekuja hapa! Kwa vile wewe ni mrupo wa waarubu wahead! Nijibu nikusambaratishe msambwa rubbish!Nyie wajinga na Mwabukusi wako msiturudishe nyuma. Haya mambo ya kisheria na kibiashara hqmuyajui kwa vile hata elimu yenu ni ndogo.
Nenda kafanye unachojuwa zaidi kikupatie fedha ila hili siyo eneo lako. Linahitaji watu wenye akili zao lakini siyo mtu wa calibre yako.
Anaelewa na amejitanabaisha kwa majina halisi yanayojulikana kote! Anajielewa na amepitia mengi! Wewe na kenge wenzio mliojificha kwenye zulia la DPW ndio wakutoa tafsiri kwa nini hamumwelewi!unasema upo tayari kwa lolote?
tafsiri ya maneno haya ni nini?
Sasa tunalialia Nini? Si tundamane hadi waondoke kwenye ardhi yetu watuachie urithiTayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.
1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.
2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.
3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.
4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.
Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.
Mungu bariki Tanganyika.
Mungu bariki Zanzibar.
Mungu bariki Tanzania.
Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
Kwaiyo huyu na hayati nani unamkubali?Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.
1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.
2. Kwamba hapo awali mapato yetu pale bandarini yalikuwa wazi ila kwa sasa yatakuwa siri kati ya DP World na Samia.
3. Pamoja na uboreshaji wa bandari hizo kupitia pesa zetu na mkopo kutoka WB bado Samia na serikali yake hawajaweka wazi kwamba hao DP World wamewekeza kiasi gani zaidi ya kuja kuvuna shamba ambalo tumelilima kwa jasho na damu kwa ajili ya watoto wa Tanganyika na Tanzania.
4. Mpaka sasa Samia na serikali yake wamekataa kuweka wazi mikataba ya kukabidhi bandari hizo kwa waarabu wa DP World. Tunaambiwa ni uwekezaji lakini hatuoneshwi mikataba hiyo ili tuipitie tuone kama uwekezaji huo una faida au hasara.
Samia anapaswa kupingwa na kila mtu mwenye akili timamu na mzalendo wa taifa hili. Sisi hatuna nchi nyingine isipokuwa hii Tanganyika aliyotupa Mungu. Sasa kama Samia atakuwa anaendelea kuingia mikataba ya siri na mibovu ya kuuza rasilimali nitakuwa tayari kwa lolote kulinda rasilimali na ardhi ya nchi yetu.
Mungu bariki Tanganyika.
Mungu bariki Zanzibar.
Mungu bariki Tanzania.
Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2959439
Watakua wazunguUnadhani dp ni Mwarabu?! ๐ผ
Punguza utotoNyie wajinga na Mwabukusi wako msiturudishe nyuma. Haya mambo ya kisheria na kibiashara hqmuyajui kwa vile hata elimu yenu ni ndogo.
Nenda kafanye unachojuwa zaidi kikupatie fedha ila hili siyo eneo lako. Linahitaji watu wenye akili zao lakini siyo mtu wa calibre yako.
Kumbe unataka nikujibu ndiyo nikupe umaarufu?Wewe kichwa cha ndege niliyetegemea ungekuja hapa! Kwa vile wewe ni mrupo wa waarubu wahead! Nijibu nikusambaratishe msambwa rubbish!
Ongeza utotoPunguza utoto
๐ค๐๐๐Somo kwa โbi-tozoโ na maraisi watakao mfuatia hawa ndio watanzania.
Poyoyo mmoja anaweza andika ujinga kutoka kichwani kwake kuhusu income ya shirika ni mijitu ikadhani ana hoja.
Hata hiyo accounting software aiwezi kukupa daily update ya makusanyo iwapo kodi za serikali zinakuwa verified na system nyingine.
Worst alichoweka mleta mada kama sehemu ya ushahidi wake wa records za makusanyo (on bookkeeping entries) ni image ambayo yenye maelezo mengine kabisa na accounting records.
Mtu kajiwekea tu image na kuandika ujinga kama evidence.
Sasa kuna watu wamempa likes kwa huo upuuzi aliondika mleta and gullible enough to support that nonsense.
Ndio โbi-tozoโ aelewe kuwaletea maendeleo watanzania ni kazi ya kujitolea unaweza tukanwa kwa habari zisizo na kichwa wala miguu.