Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nafikiri mechi za leo zimeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo.
Yanga imedhihirisha ubora wake na itaendelea kudhihirisha hilo kila mechi, bolu linapigwa na magoli matamu yanafungwa ukikataa basi wewe ni mchawi ama utakuja kurithi uchawi wa bibi yako hapo badae.
Goli 2 safi ugenini ni salamu tosha ya kuwa klabu bingwa inogile na pira gamondi litapasua anga mdogo mdogo!
NB: Pira panado limepigwa Zambia leo na watu hawana raha licha ya sare!