Mpaka hapo imejulikana na imeonekana na imejidhihirisha ni timu gani ina ukuta wa Yeriko

Mpaka hapo imejulikana na imeonekana na imejidhihirisha ni timu gani ina ukuta wa Yeriko

Yanga wamefurahi sana leo

Kuna Mama anacheza 'huyu demu wake nani' anaimba hapa mda huu na jezi zake za Ynaga
 
Tunaomba mzitaje kabisa hizo team jamani tutakapo zifunga msihamishe magoli

Hizi hapa

IMG_5033.jpg
 
Majok majok

UMEANDIKA UPUMBAFU.
ILA KWASABABU UMEZUNGUKWA NA WAPUMBAFU WENZIO WANAKUSHANGILIA TU.

Ximeonyesha❌❌ = Imeonyesha✓

Optional❌❌ = Chaguo✓

Inao yenye❌❌❌= yenye✓

MATOKEO❌❌❌ = MATOKEO ya ishindi✓

Ilo. ❌❌ = Hilo✓
Bolu❌❌ = Mpira /boli. ✓

KWELI NYIE WENYE AKILI NI WAWILI.
FICHA MA UPUMBAFU YAKO......
 
Asilimia 99 ya comment ni Pumba tu.

Hivi kwanini Hamna Akili Mmerogwa na nani?????????.????.?...
 
Nafikiri mechi za leo ximeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo!
Yanga imedhihirisha ubora wake na itaendelea kudhihirisha ilo kila mechi, bolu linapigwa na magoli matamu yanafungwa ukikataa basi wewe ni mchawi ama utakuja kurithi uchawi wa bibi yako hapo badae!
Goli 2 safi ugenini ni salamu tosha ya kuwa klabu bingwa inogile na pira gamondi litapasua anga mdogo mdogo!

N:B pira panado limepigwa zambia leo na watu awana raha licha ya sare!
Ndiyo maan hata kocha wa Taifa Stars hajawaita Shabalala & Kapombe kikosini, na kuna watu walihoji sana, lakini mechi hii imedhihirisha. Watani wajipange ama sivyo mashabiki wao watapata maumivu makubwa msimu huu.
 
Nafikiri mechi za leo ximeonyesha na kuondoa shaka juu ya timu gani inao ukuta wa yeriko, beki bora zitakupa matokeo bora na beki dhaifu zitakupa matokeo dhaifu ya kushikilia roho na kubaki na option moja tu ya kwenda kwa waganga wa kienyeji Tanga ili kupata matokeo!
Yanga imedhihirisha ubora wake na itaendelea kudhihirisha ilo kila mechi, bolu linapigwa na magoli matamu yanafungwa ukikataa basi wewe ni mchawi ama utakuja kurithi uchawi wa bibi yako hapo badae!
Goli 2 safi ugenini ni salamu tosha ya kuwa klabu bingwa inogile na pira gamondi litapasua anga mdogo mdogo!

N:B pira panado limepigwa zambia leo na watu awana raha licha ya sare!
Simba hawataki kuamini kuwa Kaoombe na Muhammed ni wazee wachovu, wanachezea nyota zao za zamani
 
Back
Top Bottom