Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

Mchezaji wa mpira wa miguu ana tatua changamoto gani zaidi ya kurukaruka uwanjani? Yani mtu anae ruka ruka uwanjani anaweza kuwa anatatua changamoto kushinda mwalimu anae wafundisha watoto wetu ambao baadae watakuja kuwa madaktari, wahandisi n.k?
Sasa mwalimu si akarukeruke nayeye apate mamilioni.

Wewe unadhani kuburudisha watu kwa kupiga mpira dk 90 sio changamoto? Hata kuchezea timu ya shule ilikuwa sio shughuli ndogo.

Narudia tena, utalipwa kutokana na ukubwa wa changamoto unazoweza kutatua. Na kuna walimu wanalipwa vizuri kuliko wachezaji wa mpira
 
Duh serikali inalipa mishahara hadi wacheza soka akina Aziz Ki na Mudathir?
 
Mwalimu ana uhakika wa ajira miaka 30.

Mchezaji akianza kucheza miaka 18 akifika miaka 30 wanasema mzee akifika 35 kwisha habari anastaafu.

Hapo mwalimu ndio anaanza kuchanganya.

Kazi yoyote yenye risk italeta turn out kubwa.
Imagine unatakiwa kustaafu miaka 35 na kuanza carrier nyingine.
 
Kwa sababu waajiri ni tofauti. Simpo tuu kuelewa hili mbona.
Vilabu vyote vinasajiliwa kwa mujibu wa sheria za serikali. Bodi ya ligi ipo chini ya serikali,serikali inaweza kuratibu, kuelekeza na kupanga viwango elekezi vya mishahara ya wachezaji
 
Vilabu vyote vinasajiliwa kwa mujibu wa sheria za serikali. Bodi ya ligi ipo chini ya serikali,serikali inaweza kuratibu, kuelekeza na kupanga viwango elekezi vya mishahara ya wachezaji
Wewe ni kubwa jinga
 
We jamaa kumbe kichwani ni mweupe kiasi hiki? Dah inasikitisha sana. Mtu unaweza kuwa unamwona ana akili ila akaku-prove wrong kwa uzi mmoja kama huu.
 
Sio kweli hakuna mwalimu anayepwa laki tatu mwanzo nilipuza lqkin kuna walimu msingi wanalipwa milion na laki 7
 
Kwa lengo tu la kubishana hebu tujiulize..

Hivi mcheza mpira ana add value gani kwenye maisha yetu ukilinganisha na daktari?

Mfano wacheza mpira wasingekuepo kungekua na athari gani ambayo tungepata kama binadamu?
Mkuu; angalia au pita kwenye vijiwe na kwingineko walipokusanyika hasa hili rika la vijana usikie wanachoongea kwa sauti na makelele - ni Mpira wa ndani ya nchi au Nje. Sasa kusingekuwa na mpira unadhani hao wangeliishia kuzungumzia nini na wapi, wangetumia muda wao kivipi (Disguised unemployment)? Kama binadamu tungeathirika kwa kukosa mojawapo ya Starehe (entertainment) na kukosa starehe huweza kusababisha msongo wa mawazo(Stress) na stress yaweza kusababisha shinikizo la damu, kuchanganyikiwa (uchizi) n.k. Kila kitu including wacheza mpira kina faida zake.
 
Dah ndo maana oscar oscar, antonio nugaz, mc garab, mc pilipili na wengine weengi ualimu waliukimbia mapemaaaa maana waliona mbeke kiza
Huenda ila maisha ni vile unavyoishi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…