laskaboza
Senior Member
- Jun 8, 2020
- 142
- 1,584
Come on Bro!
Pesa ni mchezo wa Namba.
Ni watu wangapi mwalimu wa serikali anaweza kufundisha kwa siku? Na ni watu wa aina gani?
Ni watu wangapi walifuatilia game ya Azam na Simba jana? Na ni watu wa aina gani?
Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kupata huduma ya Mwalimu wa serikali kwa Mwaka?
Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kwenye kufuatilia mpira kwa mwaka?
Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye huduma ya Mwalimu wa serikali? Na ni sh ngapi wameweka?
Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye mpira? Na ni sh ngapi wameweka?
Ukiwa mtaani, ni mara ngapi kwa mwaka umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa mwalimu?
Je ni mara ngapi kwa siku umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa wachezaji na timu zao?
Networth is Network. The more people you bring in, the more money you make!
Football sio kitu cha maana sana kwenye maisha ila kinafuatiliwa na watu wengi sana na hivyo kutengeneza fursa nyingi za ki biashara ndio maana wachezaji wanalipwa hela nyingi. It's that simple!
Ila Mwalimu pia anaweza kujiongezea kipato kupitia hizi social media especially Youtube. Anaweza kuanzisha channel yake akawa anatoa madini yake kule. Watu wakimuelewa wana subscribe then baadae anaweza kuweka matangazo ya biashara yatakayomuingizia kipato kutokana na idadi ya watu wanao.view content zake.
Like I've said before, It's just a game of Numbers. More Numbers, More Money. Few Numbers, Few Money!