Mpaka leo hii sijui kwanini mchezaji wa mpira nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 halafu mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh. Laki 3

Come on Bro!

Pesa ni mchezo wa Namba.

Ni watu wangapi mwalimu wa serikali anaweza kufundisha kwa siku? Na ni watu wa aina gani?

Ni watu wangapi walifuatilia game ya Azam na Simba jana? Na ni watu wa aina gani?

Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kupata huduma ya Mwalimu wa serikali kwa Mwaka?

Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kwenye kufuatilia mpira kwa mwaka?

Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye huduma ya Mwalimu wa serikali? Na ni sh ngapi wameweka?

Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye mpira? Na ni sh ngapi wameweka?

Ukiwa mtaani, ni mara ngapi kwa mwaka umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa mwalimu?

Je ni mara ngapi kwa siku umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa wachezaji na timu zao?

Networth is Network. The more people you bring in, the more money you make!

Football sio kitu cha maana sana kwenye maisha ila kinafuatiliwa na watu wengi sana na hivyo kutengeneza fursa nyingi za ki biashara ndio maana wachezaji wanalipwa hela nyingi. It's that simple!

Ila Mwalimu pia anaweza kujiongezea kipato kupitia hizi social media especially Youtube. Anaweza kuanzisha channel yake akawa anatoa madini yake kule. Watu wakimuelewa wana subscribe then baadae anaweza kuweka matangazo ya biashara yatakayomuingizia kipato kutokana na idadi ya watu wanao.view content zake.

Like I've said before, It's just a game of Numbers. More Numbers, More Money. Few Numbers, Few Money!
 
Ulaya mchezaji anachukua mshahara anamzid mpk rais hushangai au we hufatilii mambo
ila sio kila kitu cha ulaya ni sahihi , tunaeza anza sisi rekebisha kisha ulaya wakafuata

Tatizo kubwa ni kuwa walimu wamekuwa ni makapi ya mwisho kwenye matokeo either ya olevel au advance ndo wanaenda kusomea ualimu , tuanze rekebisha kwanza kwenye kuchukua aina za watahiniwa kisha tuje turekebishe mazingira ya kaz kwa walimu ili tuwashawishi wengi waupende ualimu kisha mishahara iwe juu kuzid hata wanajeshi maana walimu wakiwa wabovu wanazalisha kizaz kibovu mf products za sasa za walimu wetu hawa zinatia huruma
 
Huna kitu unachoizidi ulaya wewe hata ufanyaje wale wapo mbele ya muda Kwa akili Yako unadhani wazungu haxana akili kulipia wachezaji pesa nyingi hivi unajua shida ya kucheza mpira wewe watu wanapoteza maisha kisa mpira unaongea nini wewe unafikiri mpira ni kazi ya kawaida tu
 
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Kwani mwalimu wa S/M Rufiji analipwa mshahara sawa na mwalimu wa IST? The same mchezaji wa Simba anaweza kulipwa 5m na mchezaji wa namungo akaliowa laki 3
 
ila sio kila kitu cha ulaya ni sahihi , tunaeza anza sisi rekebisha kisha ulaya wakafuata

Tatizo kubwa ni kuwa walimu wamekuwa ni makapi ya mwisho kwenye matokeo either ya olevel au advance ndo wanaenda kusomea ualimu , tuanze rekebisha kwanza kwenye kuchukua aina za watahiniwa kisha tuje turekebishe mazingira ya kaz kwa walimu ili tuwashawishi wengi waupende ualimu kisha mishahara iwe juu kuzid hata wanajeshi maana walimu wakiwa wabovu wanazalisha kizaz kibovu mf products za sasa za walimu wetu hawa zinatia huruma
Nzuri
 
Come on Bro!

Pesa ni mchezo wa Namba.

Ni watu wangapi mwalimu wa serikali anaweza kufundisha kwa siku? Na ni watu wa aina gani?

Ni watu wangapi walifuatilia game ya Azam na Simba jana? Na ni watu wa aina gani?

Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kupata huduma ya Mwalimu wa serikali kwa Mwaka?

Ni gharama kiasi gani watu wanatumia kwenye kufuatilia mpira kwa mwaka?

Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye huduma ya Mwalimu wa serikali? Na ni sh ngapi wameweka?

Ni wawekezaji wangapi wamewekeza kwenye mpira? Na ni sh ngapi wameweka?

Ukiwa mtaani, ni mara ngapi kwa mwaka umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa mwalimu?

Je ni mara ngapi kwa siku umewahi kukuta watu wanazungumzia ubora wa wachezaji na timu zao?

Networth is Network. The more people you bring in, the more money you make!

Football sio kitu cha maana sana kwenye maisha ila kinafuatiliwa na watu wengi sana na hivyo kutengeneza fursa nyingi za ki biashara ndio maana wachezaji wanalipwa hela nyingi. It's that simple!

Ila Mwalimu pia anaweza kujiongezea kipato kupitia hizi social media especially Youtube. Anaweza kuanzisha channel yake akawa anatoa madini yake kule. Watu wakimuelewa wana subscribe then baadae anaweza kuweka matangazo ya biashara yatakayomuingizia kipato kutokana na idadi ya watu wanao.view content zake.

Like I've said before, It's just a game of Numbers. More Numbers, More Money. Few Numbers, Few Money!

Hapo umeongelea kuhusu nguvu ya media. Media zikiamua kuanza kupromote habari za elimu na walimu wazuri kama zinavyo promote mpira wa miguu amini kwamba suala la elimu litaanza kizungumziwa hadi vijiweni.

Media zikianza ku u promote ugonjwa wa malaria watu tutakuwa tunatembea na net barabarani. Mfano mzuri tuli uona kwenye corona.

So ni suala la media tu mkuu lakini haimaanishi kwamba wachezaji wa mpira wa miguu ni muhimu ndani ya nchi yetu kuliko waalimu na madaktari.

Media zikiacha kupromote mpira wa miguu then mpira wa miguu utabaki kuwa mchezo wa kawaida tu. Vijana wataanza kuucheza wao mtaani na muda wanao utumia kubishana kuhusu Yanga na Simba watautumia kwenye mambo mengine ambayo ni more productive
 
Sio Tanzania tu nadhani sportsmen kwa nchi zote hulipwa zaidi na hii ni dababu michezo inaingiza pesa nyongi sana lakini pia athletes huwachukua nguvu nyingi na muda mwingi kufanya yale wanayofanya mpaka mtu akawa entertained.
 
Mpira hauzalishi chochote.

Mfumo mbovu wa UBEPARI ndio umefanya jamii ione kama ni sawa kumlipa mchezaji asiezalisha chochote mamilioni ya pesa huku daktari anaewatibu wote kuanzia hao wachezaji mpaka wenye timu akilipwa peanuts..
Na serikali zinaunga mkono hilo kwavile kadri wananchi wanavyokua busy kushangilia mipira na upuuzi mwingine, ndivyo viongozi wanavyozidi KUPIGA HELA maana hamna mwenye muda wa kuhoji mambo ya msingi.
You are the true son of your father
 
Mara zote serikali huwekeza kwenye mpira ili kupovusha fikra za watu na mwisho huweka nguvu nyingine kwenye dini kurainisha mioyo ya watu.

Ni mpumbavu pekee ataona mpira ni muhimu kuliko Elimu.
You are the true son of your father. Kiranga alishawahi kuongea kitu kama hiki namna ambavyo serikali zinatumia michezo kuwapumbaza watu kuwafanya waache kufuatilia mambo ya Msingi
 
Usain bolt asipokimbia kuna mtu atakufa?
Ronaldo asipocheza kuna mtu atakufa?
Michael jackson asipoimba kuna mtu atakufa?

Vipi daktari asipotibu?
Akikujibu uni tag mkuu
 
Kabisa mkuu yani Mtanzania anaona Simba kufungwa na Yanga ndio tatizo lake na.sio yeye kutokuwa na ajira au watoto wake kukaa chini darasani
Kitu ambacho watu wengi hawajui pia, michezo inaisaidia sana serikali! Serikali zinapenda kuona watu wake wakiwa occupied na vitu vya kijinga jinga na ushabiki wa vitu kama michezo nk ili watu hao wawe rahisi ku control na wasikumbuke KUHOJI mambo ya msingi kuhusu maisha yao!
 
Mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania analipwa sh milioni 5 hadi kumi kwa mwezi na bado hizo zinaonekana eti ni ndogo.

Ila mwalimu wa shule ya Msingi analipwa sh laki 3 kwa.mwezi ( hiyo inawezekana ikawa kubwa zaidi)

Daktari analipwa sh laki 7 kwa mwezi .

So katika taifa letu hili la Tanzania, mchezaji wa mpira wa miguu ni muhimu kuliko mwalimu?

Kuliko Daktari?
Nahisi wahuni wamehacj akaunti yako,hakuna mwal8mu analipwa laki 3,labda burundi huko
 
Kuwasaidia nini mjomba Kila mtu anaangalia akipendacho maisha mafupi kwanini watu wasifurahi kwenye football acha habari zako nahisi hauko vizuri kichwani hamna msomi anaechukia michezo sababu ni burudani kwahiyo ulitaka mtu maisha yake yote awe anasoma tu wewe ni mjinga sana yaani unasema ajira za watu wanaokuzidi kipato ni vitu vya kijinga naona hujielewi mzee
Punguza munkari mkuu, tunajadili tu sio vita..

Hakuna mtu anaekataa michezo, wala uzi huu haujakataza watu wasicheze. Swali la mleta mada ni kwamba kwanini mchezaji alipwe milioni 5 wakati daktari analipwa laki 7?
Unataka kuniambia wewe ukiwa mgonjwa kitandani ukiulizwa tukuitie daktari au tukuwashie tv uangalie mechi, utachagua kuangalia mechi?

Mimi nadhani sisi kama jamii ndio hatuko sawa vichwani. Ni kwanini tuone its okay kumlipa ghali mtu anaeburudisha kuliko anaeokoa maisha yetu?
 
Kabisa mkuu yani Mtanzania anaona Simba kufungwa na Yanga ndio tatizo lake na.sio yeye kutokuwa na ajira au watoto wake kukaa chini
Mpira wa nchi gani unaendeshwa kama hivyo????
Sio mbaya tukiwa nchi ya kwanza kufanya hivyo
Kitu ambacho watu wengi hawajui pia, michezo inaisaidia sana serikali! Serikali zinapenda kuona watu wake wakiwa occupied na vitu vya kijinga jinga na ushabiki wa vitu kama michezo nk ili watu hao wawe rahisi ku control na wasikumbuke KUHOJI mambo ya msingi kuhusu maisha yao!
 
Usain bolt asipokimbia kuna mtu atakufa?
Ronaldo asipocheza kuna mtu atakufa?
Michael jackson asipoimba kuna mtu atakufa?

Vipi daktari asipotibu?
Kwan maeneo yote duniani l kuna madaktari? watu hawaishi? madaktari wanazuia kufa?
Ukiona madaktari wa muhimu kuliko wooote vipi kuhusu wafamasia? Wazalisha dawa? Wataalam wa maabara? wanajeshi, maaskari? Na wengine wengi tu.
Kila ujuzi una umuhimu wake na unalipwa kulingana na demand na supply na factors zingine.
Ndo maana kuna matajiri wanalipa mamilioni waende kutizama titanic iliyozama n.k kwa mentality yako ungesema why hizi hela wasifanyie hivi au vile!
Demand ikiwa kubwa sana na nafasi ya kuhudumia wengi sana kwa sehemu kubwa kieneo ikiwepo kwa mtoa huduma/mzalisha bidhaa atapata tu hela nyingi. Hiyo ni kanuni ya uchumi haijawahi badilika.
 
Punguza munkari mkuu, tunajadili tu sio vita..

Hakuna mtu anaekataa michezo, wala uzi huu haujakataza watu wasicheze. Swali la mleta mada ni kwamba kwanini mchezaji alipwe milioni 5 wakati daktari analipwa laki 7?
Unataka kuniambia wewe ukiwa mgonjwa kitandani ukiulizwa tukuitie daktari au tukuwashie tv uangalie mechi, utachagua kuangalia mechi?

Mimi nadhani sisi kama jamii ndio hatuko sawa vichwani. Ni kwanini tuone its okay kumlipa ghali mtu anaeburudisha kuliko anaeokoa maisha yetu?
100% correct
 
Back
Top Bottom