Centia2
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,018
- 1,640
Ukwel ukizipata na hujajitambua huwa ni mtihani sana,,
Kuna kipindi nilikuwa angalau nipo vizuri,kila nlipokuwa nikinunua kitu/bidhaa na kubakiza chenji hasa coin nafanya kuitupia mezani.ilifika hatua meza ikawa imetapakaa sliva za kutosha.hii nilfanya maksudi eti kuwachengua mademu!
kuna muda nilikuwa nimetulia nkawa najisemea moyon kwamba hivi kweli kuna watu wanakosa 1000 ya vocha?
Leo nimechalala siyo nakosa hata jero la vocha,bali hata mia tatu ya kununulia umeme mpaka nimshtue mwana!