Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Daaa! Haya mambo haya..

Ok tufanye kidukulilo in one way or the other!
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Mshukuru Mungu usiwadharau wengine kwasababu wewe unacho.
 
Hawa wanakuwaga wanaioshi nyumba za baba zao na kupewa stipend na wazazi kama wako shule bado,

Mzazi akikaa kushoto atauza nyumba aache gari ya kupewa then arudi kupanga.
 
Kwanza tujenge duniani tumehamia?nijenge nyumba ya kukaa miaka 300 wakati Mimi naishi miaka 80 kisa Cha kujichosha?sio shida zangu😔
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Kwamba hawa watumishi wanaohama amakuhamishwa vituo vya kazi wawe wanajenga kila wanakohamishiwa?
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Aiseeeeee !!!
 
Mkuu
Kama wewe umeyapatia maisha ujue wapo ambao hawana connections na hata wazazi wao ni watengwa families.

Hamasisha maendeleo ya kijamii ili wajikwamue punguza gubu kwa wasionazo
 
Utakuwa Muhaya mwenzangu wewe ila nakuombea utokwe na roho ya kiburi, mara nyingi kiburi hutangulia ndipo anguko hufuata, sasa kabla haujawa nebuchadrezzar wa zama hizi Mungu akuokoe.
 
Hujafa hujaumbika... Nani ajuaye ya kesho? Kuna watu katika umri mdogo kabisa walikuwa baba wenye nyumba lakini leo hii hata kodi ya chumba kimoja ni changamoto! HUJAFA HUJAUMBIKA..!

Umemaliza kila kitu mkuu
 
Duu sijui mimi jamaa ataniweka kundi lipi?Nina majengo manne napangisha ila nami nimeamua kupanga tena kwa mtu na maisha ni mazuri,nawaheshimu sana wapangaji wangu kwani nahisi nikawatenda vibaya nami yanaweza kunirudia.Tuheshimiane wajameni,kwn wengine tumejenga kwa jasho letu but inaonekana mtoa mada kawezeshwa na wazazi kumiliki alichonacho/alivyonavyo
Hongera sana. Halafu huyo kijana mtoa uzi anakuja hapa kuwanyanyapaa wenzake kana kwamba waliomba iwe kwao kama walivyo. Amejisahau na hajui kibao kinaweza kugeuka e.g. nyumba anayotamba nayo ikashika moto(Japo hatuombei hilo).
 
Back
Top Bottom