Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji3]
 
Siyo tu nyumba, sisi wengine tunakodi mpaka wanawake, dogo acha dharau, mwenye nyumba wa leo anaweza akawa mpangaji wa kesho.

Pili unaweza ukaenda mji ambao siyo wako, itakulazimu tu kupanga wakati unapambana kutafuta makazi yako y kudumu. Maisha ni mzunguko.
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Aliyekwambia kupanga ni aibu sijui nani, na wewe na likichwa lako ukamuamini!?

Kila mtu ana preferences zake, Elon Musk amepanga, Mo dewji amepanga Dubai huko.

Kuna wengine wanapanga kutokana na eneo alilopo (Musk, Mo na wengine), wanapoishi ardhi kubwa inatakiwa kwa ajili ya uzalishaji, au kuna watu wengi kiasi cha kwamba haiwezekani kila mmoja akawa na eneo la makazi ya kudumu; ndio maana yakajengwa maghoroga ili ya-occupy nafasi ndogo with many inhabitants...

FANYA M’BICHWA ULE...!!😏
 
New member welcome ila ushoga wako mwisho kwenu huko huko
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Vipi ndio umehamia kwako mwisho wa wiki iliyopita nini?
 
Kupanga kuna raha yake haiwezekani kijana wa miaka22 umeshajenga na kujifungia sehemu moja hadi mwisho wa maisha yako,,kaa location tofauti,ukichoka ndo ujenge,mfano unamiaka 22 ukajenga mbagara hutoki hapo mpaka kifo
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Kwa ufahamu wako kila anaeishi nyumba ya kupanga hana nyumba??
Hujawaza nje ya box kuwa kuna majukumu ya kikazi labda Mwanza na mtu amejenga Bagamoyo?
Biashara ya kupangisha haiwezi kuisha. Na hata ujenge huwezi kuacha kupanga km shughuli zako zinakulazimu kuhama kila baada ya muda fulani.
 
Ujengaji nyumba hovyo ni chanzo cha slums, miji kuwa ya hovyo na michafu sana.
 
Back
Top Bottom