Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G

Pole sana kwa utumbo uliouandika mkuu .. siku yenyewe unatumia ya laki 4 inaonyesha ww Bado unakula ugali wa shkamo Mama.
 
Hujafa hujaumbika... Nani ajuaye ya kesho? Kuna watu katika umri mdogo kabisa walikuwa baba wenye nyumba lakini leo hii hata kodi ya chumba kimoja ni changamoto! HUJAFA HUJAUMBIKA..!
Huyu mbweha asiwatishe nae ni mpangaji tu anajaribu kuuvaa uhusika kama anaishi kwake ili apime upepo.

Waliojenga na kuishi kwao hawawezi ongea huo uharo[emoji51]
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Hebu tuwekee hapa picha ya hiyo unayodai ni nyumba yako na watu watakuwekea picha ya nyumba walizopanga kisha utaona ni yupi anaishi maisha mazuri!
Yaani unajenga kibanda cha vyumba viwili na sebule (ni hongera kama haujivuni maana ni hatua) halafu unatokeza mbele ya wanaume kujivuna!!
Hivi unajua kuna watu wanapanga nyumba na wanalipia kwa mwaka na kodi yao ya mwaka inazidi hiyo gharama ya kujenga hicho kibanda chako!!
 
Mleta mada unapajua "Highland villa?!" Au kwa jina lingine panaitwa "Dar Villa"... maeneo ya Mikocheni "A" mkabala na TMJ hospital... kuna matajiri wengi wakubwa nchi hii wanaishi pale wamepanga. Rent ni 10m za kitanzania kwa mwezi.

Ingawa kuna nyumba au apartment zinauzwa pale lakini wengi wamepanga. Masikini hukimbilia kujenga kwa sababu au hofu binafsi... anyways kila mtu na mawazo yake, ujumbe mzuri na una content nzuri ila uwasilishaji design kama uhaya, unyamwezi, unyakyusa, umanyema na upogoro umekuwa mwingi hiviiii 🤔🤔🤔

Anyways... hujafa hujaumbika, rekebisha uzi upunguze ukali wa maneno 😊👍🏾
 
Kijana! Usiwasimange vijana wenzio.Hujui mapito wanayopitia ni ya namna gani. Wewe unatakiwa tu umshukuru Mungu aliyekujalia wazazi na hatimaye ukaishi kama ulivyotutajia.
Kwamba wazazi wao alichemka hilo acha kabisa ndg. zingatia na kumbuka vijana wengine labda hawawajui wazazi wao, wengine wazazi wao walishatangulia mbele za haki wakati wao wakiwa ni wadogo au wengine wazazi hawakuwa na uwezo hata kama walitamani sana kuwafanyia watoto wao kama wewe wazazi wako walivyokufanyia.
Ili kurudisha fadhila kwa Mungu, hebu jiwekee ka-tabia ka kuwahurumia na kuwasaidia vijana wenzio japo kidogo kulegeza vyuma vilivyokaza.
Duu sijui mimi jamaa ataniweka kundi lipi?Nina majengo manne napangisha ila nami nimeamua kupanga tena kwa mtu na maisha ni mazuri,nawaheshimu sana wapangaji wangu kwani nahisi nikawatenda vibaya nami yanaweza kunirudia.Tuheshimiane wajameni,kwn wengine tumejenga kwa jasho letu but inaonekana mtoa mada kawezeshwa na wazazi kumiliki alichonacho/alivyonavyo
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Wewe unaisha dunia ipi? Acheni kukufuru usijejikuta hata uwezo wa kupanga huna. Pia, acha ulimbukeni na kuanglia ukweli mchungu
 
Sema kupanga kwa nchi kama Tanzania ni mateso sana na ni umasikini tusijifariji....
 
😂😂😂
Mkiitwa mazuzu bado mnaona mnaonewa.
Zipo sababu nyingi za MTU kupanga.

Akili ya Mtoa mada inaonekana ni ya MTU asiye na Exposure, ambaye hajasafiri safiri, yupo kama mfugo wa kufuga.
Kama ungekuwa na exposure au MTU wa kuhamahama ungejua kuwa Kupanga ni kitu cha kawaida.

Nakupa mfano,
Kwenu ni Mwanza, umekuja DSM kufanya kazi, unafikiri utaishi nyumba iliyojengwa na Wazazi wako au uliyojenga wewe?

Au umetoka Tanzania ukaenda Uingereza kufanyakazi unafikiri utaishi nyumba gani?
Au wazungu wanakuja huku Kwa mambo Yao unafikiri wanaishi nyumba zao?

Mtoa mada unayohayaja ya kuitumia Akili yako vizuri Sana.

Alafu sio ajabu kuna wenzako wanaishi nyumba nzuri ya Kupanga alafu wewe unaishi kwenye mabanda Banda alafu unaongea city visivyoeleweka.
 
Vijiji ndo kila mtu anajenga.
Mjini nyumba zipo nyingi
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Kaka una miaka mingapi kwanza?????Na la pili inaonekana wewe bado mvulana kwa kauli yako ya"Shame on them""!!!!!Wewe sio mwanaume utakua mtoto wa kike maana wanaume wapambanaji tunaelewa wazazi wetu walipotoka na tunawapenda na kuwaeshimu hata kama kama hawakutuachia kitu chochote!!!!!!Dogo maisha hayapo hivyo acha mbwembwe za watoto wa kishua🤣🤣😂😂😂
 
Mwanaadamu huvuka mpaka pale ambapo anajiona amejitosheleza, kwa asili mwanadamu asipopata nuru ya elimu na muongozo yeye ni dhalimu tena mjinga mno.
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Ada zinawachanganya sana watu
 
Back
Top Bottom