Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga?

Samsung Note 10 + 5G kumbe ukiimiliki tyr umefanikiwa...
Kupanga sio Umaskini .
Wengine wamepanga coz wanafanya kazi mikoani
Pia Maisha yanaenda na malengo.

Hongera sana Kwa kujengewa na wazazi wako.
 
Japo hukutumia njia au lugha nzuri kufikisha ujumbe, ujumbe wako bado una mantiki. Ni vyema wazazi kupambana kuwajengea future nzuri watoto kwa kuwatafutia rasilimali kama viwanja au hata kama mfuko unaruhusu, kuwajengea ili watoto wanapoanza maisha, wasianzie kwenye sifuri.
Wazazi wajibu wao ni kupambana wakupatie elimu (hilo si dogo kifedha), mengine pambana mwenyewe.

Unataka fedha zote wawapatie nyinyi watoto halafu wao wakifika uzeeni hamutaki kuwashughulikia. Pambaneni wenyewe mujiboreshee maisha yenu, waachieni wazazi wajitanue na balance zao wakatembee na kuona maisha, siyo kuwanunulia maviwanja au manyumba - what for?
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
Mtoa mada we

Mtoa mada we nigasho...huwezi jivunia Mali za babaako ..Tafuta Ela yako ujue uchungu au unatafuta tension ya watu?....we nimshamba wamwisho.nyie ndio wale mnao lala sebulen,wamwsho kulala wakwanza kuamka
 
Ukiendelea hivyo soon utaitwa jina jipya marehemu, maana si kila umfanyiae hivyo watakuchekea wengine watakuangusha hata kwa kukuroga itapigwa urogo hadi ushangae hiki nini Ila umejitakia mwenyewe, hata km una mafanikio waheshimu walio chini yako usiwadharau km huwezi kuwapa msaada, acha dharau kwa kupitia mali za urithi sio zako hizo
 
Naona yule jamaa wa dodoma vijijini kapata mpinzani[emoji4]
 
Lakini kutwa kupiga vizinga na kuomba kukopeshwa na washkaji zako wanaoishi nyumba za kupanga.

Maisha hayana kanuni, waombee nai watoke huko. Hakuna anayefurahia kulipa kodi, labda kupokea kodi inapobidi
 
Screenshot_20230109-203006.jpg
 
Lengo la uZi wako Ni Nini[emoji848]
Swali zuri sana.

Maana inawezekana kuna watu wanafanya "social experiment" tu hapa JF.

Mtu anaweza kuanzisha uzi wa kijinga, huku yeye mwenyewe akijua ni wa kijinga, ila anataka kuangalia watu watakavyo react tu.
 
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi byumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.

Ili kuondoa hiyo aibu ya wazazi wenu pambaneni mtoke hayo magodown mnayoishi hao.

This thread posted by someone who live in his house and use Samsung note 10 plus 5G
This thread posted by someone who liveS in his house and usES A Samsung note 10 plus 5G

Wazazi wako hawajui kingereza, wakati wazazi wa wenzio wanasoma kingereza wako walikua wanajenga, na hii ndio maana ya maisha
 
Kuna mtu ana mansion la maana maeneo ya beach huko kajenga. Ila amepanga posta au maeneo ya masaki ili akae karibu na kazini au kwenye mishe zake. Ijumaa anarudi kwenye mansion lake. We uko hapa unatupigia kelele nyumba ya urithi. Na wanao waje wasemeje?
 
Back
Top Bottom