Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

Nafikiri ni kile kitendo chake Cha kukemea uovu, kuhimiza wananchi kudai katiba mpya na kutaka kujiweka tofauti na sera na mikakati ya utawala uliopo, ni kama vile alikuwa makamu wa rais kutoka katika chama tofauti na ccm jinsi alivyokuwa katika mienendo na matamko yake
 
Tuambie wewe maana kama Mbowe alimuua mbowe yuko na mama kwa sasa
Hatuzungumzii kipindi hiki, tunazungumzia kipindi kile mnafunga vibwebwe na kumkatia viuno mbowe mkimwita "kamanda". Tuache hayo, hivi umeshawahi kumuona mahabusu ananenepa na kunawiri?!!!!
 
watajuana wenyewe na maisha yao, sie acha tuendelee kushona ndala zetu za safari,kwani alikua wapi kabla ya uchaguzi, asitafute huruma ya wananchi kwa kujitenga baada ya matatizo hata yeye pia ni sehemu ya matatizo tena asitie huruma kabisa na iwe funzo kwa machawa wote wajue kabisa hata wao siku yoyote watageukwa tu
 

Attachments

  • IMG-20261002-WA8179.jpg
    IMG-20261002-WA8179.jpg
    342.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom