Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hatuzungumzii kipindi hiki, tunazungumzia kipindi kile mnafunga vibwebwe na kumkatia viuno mbowe mkimwita "kamanda". Tuache hayo, hivi umeshawahi kumuona mahabusu ananenepa na kunawiri?!!!!Tuambie wewe maana kama Mbowe alimuua mbowe yuko na mama kwa sasa
Nchimbi kafanya kosa kubwa sana!https://www.jamiiforums.com/threads...osa-lake-nini-au-ni-kuwa-mkweli-sana.2466447/
P
Mbona haya yote yalikuwepo tokea kipindi Cha Kikwete na Magu na yeye alikuwepo?Kutounga mkono vitendo vya utekaji, ukandamizaji, mauaji, kubambikia kesi wapinzani, kudai katiba mpya
100%Kutounga mkono vitendo vya utekaji, ukandamizaji, mauaji, kubambikia kesi wapinzani, kudai katiba mpya
Mambo yake ndio hayo we unataka afanye nini?We ndiyo "WATANZANIA?" Acha ubwege we bwanamdogo fanya mambo yako Nchimbi alijiuzulu mwenyewe!
Sababu za kufukuzwa CCM ni zipi? Taja sababu tunasubiriWe ndiyo "WATANZANIA?" Acha ubwege we bwanamdogo fanya mambo yako Nchimbi alijiuzulu mwenyewe!