Mpaka nimetoka machozi, ujangili bado ni tatizo kubwa Afrika

Mbona kafa huku amedindisha ,au alikuwa anakula mzigo wakampiga risasi hapo hapo
 
hao wakiisha tutaanza kuwindana wenyewe, maana ake wajaruo wanameno marefu sana.
 
Usikute huyu tembo kagongwa na nyoka ama kafa kwa uzee tu....jamaa kakimbilia kunya na kuja kuweka utopolo wa Yanga hapa.
 
Madhara yake, Tembo wengi sasa wanazaliwa hawaoti pembe, miaka ijayo Tembo wote watakuwa hawana hayo meno.
 
Duh kumbe Elephant ana mtarimbo mzuri hivo, hongera zenu tembo jike maana
Tukiangalia uwiano Wa mwili na hiyo Mashine, Marehemu alikuwa ni Kibamia tu.!

R.I.P Mr. Tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…