Mpaka sasa Baada ya hizi nauli mpya na Tozo tunasemaje kuhusu Mama?

Status
Not open for further replies.
Mazingira yanakataa, hii hali si nzuri kwetu wananchi,
 
Aliharibu kwa kufanaje maana kwake hatukuwa na haya ya kudouble transaction costs, kodi zililipwa kwa mujibu wa Sheria

Aliharibu uchumi upi??? Pamoja na majanga ya korona still nchi haijayumba sana

Watu wanalalamika tu kwamba alileta kodi nyingi but ukiangalia mabadiliko kwenye Sheria huoni hayo mabadiliko makubwa ya kuumiza watu, alichokifanya ni kusimamia hizo kodi zilipwe sawasawa, Finance Acts since 2015 mabadiliko ya kawaida sana...

Kwenye kodi mimi ndio naona jambo jipya la Tax kuwa proportional na actual cost before such Tax.

Tuhurumieni jamani,
 
Yale majitu yaliyokua yanapiga kelele za mataga bado yanakenua meno?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mara hii hata mwaka haujaisha hamumtaki tena mkashupaza shingo kuwa hafai...werevu tuliwaambia mwanzo tu kabla hata ya kuingia
 
... Bunge ndio chombo cha uwakilishi wa wananchi ndugu; Bunge linatakiwa litetee wananchi. Kama linapitisha kodi kandamizi ni tatizo la Bunge. Bunge lingegomea hiyo bajeti ingepita? Lilaumiwe Bunge sio Rais.
Uwakilishi wa wananchi wapi? Bunge lipi unalolizungumzia, hilo la JMT? Lini limewahi kutetea mwananchi? Mambo yote yaliyopelekwa na serikali bungeni, lipi lilikwama kwasababu ya wabunge kuona halifai kwa ustawi wa taifa? Gesi iliuzwa kwa dharula, aliyeleta ni raisi na serikali yake. Wabunge hawa wanaosema si sawa ila mwisho anaunga mkono hoja?

Anayeleta hoja za kodi kandamizi si ndo huyo huyo anayepaswa kuwatumikia wananchi? Taasisi za tafiti na uchunguzi ziko chini ya Bunge? Wapanga mipango ya nchi ni bunge? MKURABITA, TASAF n.k zilianzishwa na Bunge?

Bunge hili rubber stamp! Ukikosa raisi mwenye maono na kuleta mambo meusi bungeni kwa kudhania itapingwa na wabunge, basi tumepigwa haswaaa.
 
MH. RAIS SAMIA SULUHU HASSANI HAUSIKI KWA NAMNA YOYOTE, KAMA UNAMSIKILIZA MWL. CHRISTOPHER MWAKASEGE UTAELEWA TUNAELEKEA WAPI. HILI NI TRAILER, PICHA KAMILI INAKUJA. NI NGUVU KUBWA SANA YA ULIMWENGU, SULUHISHO NI KUMKIMBILIA MUNGU NA KUMTEGEMEA YEYE PEKE YAKE. PRESURE ILIYOPO KATIKA MAMBO HAYA NI KUBWA KULIKO UWEZO WA RAIS AU KIONGOZI YEYOTE WA WANADAMU. SIKILIZA MAFUNDISHO YA MWAKASEGE KABLA HATA YA MAGUFULI HAJATUTOKA NA YALE YALIYOISHIA JUMAPILI.SIO LAZIMA USIKILIZE, HUU NI USHAURI TU."KILA MUNU AVE NA KWAO."
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…