kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi?
Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya chini!
Siasa zake zake za kivitendo na sio masimulizi meeengi kama walivyowatawala wengi! Ili kufanya achukiwe na watanzania ambao kwao alikuwa ni mkombozi na mtetezi wao wa bila uficho, sielewi mnapaswa mfanye kitu gani!
Huyu mheshimiwa wa muda wote, kwanza hayuko duniani 2years, mafaili yote kayaacha hapo Whitehouse na wala hakujiandaa kwamba labda afiche baadhi ya nyaraka, zote ziko hapo! Mnafeli wapi CCM na wabaya wake kuweka peupe kila uwizi na ufisadi wake?
Badala yake mnapiga kelele mitandaoni tena kulazimisha eti kila mmoja akubali kuwa ni mwizi na fisadi?
Siku hizi hakuna mahakama? Mbona Escrow ilijulikana tu nani alihusika nayo na hata sasa ukiuliza kila mtu anajua kuwa nyuma ya Escrow kulikuwa na kigogo fulani?
CCM, wafoji vyeti, mafisadi mnaokula kwa urefu wa kamba zenu, mnatuchosha bhana!