Mpaka sasa bado sijaona makosa ya Hayati Magufuli labda kosa alilonalo ni kuipenda Tanzania kwa maisha yake na huo ndio upendo wa kweli.

Kichwa cha Habari kimemaliza Kila kitu
Apumzike kwa Amani
 
Aagh wapii..!!! Jama alikuwa katili na gaidi haswa. Kauli zake nyingi tu zinasema hivyo.
 
Magufuli ni shujaa
 
Ukiwa na kiwango flani cha akili ndio unaweza kuona ushenzi wa Magufuli.
 
Tafuta machapisho ya hawa watu utapata kujua upande mwingine wa pili wa "MAKENZI" wa CHATTLE.

-Martin Masese
-Luqman Maloto
-Ansbert Ngurumo.
 
1.5 Trilion
Fedha za Plea Bargain
Fedha za Bureu de Change
Fedha za vitambulisho vya wachinga
Uhuni wa uchafuzi aliouita uchaguzi wa serikali za mitaa madiwani na wabunge
Sarakasi zake Kijijini kwao Chato
Kapite Tanzanite bridge na Magufuli Bus Terminal halafu urejee haya. Inaweza kuwa sehemu ya hayo yaweza kuwa yalifanywa na watumishi wengine.
 
Kuipenda nchi siokuharibu kukwapua Mali zawavuvi kuipenda nchi siokuiba pesa zawakulima nawafanyabiasha walizo weka benki kuipenda nchi siokushindwa kuajiri watumishi wapya kuipenda nchi sio kuwaua watu namakaburi yao yawe viroba wala sio kumzuru lisu jamaa alikuwa mshenzi nakatili sana mungu amlani sanahukoaliko asipumzishwe kabisa.nimwendo wamoto milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…