Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Mimi ni raia mwema mweny mapenzi na nchi, kuzaliwa Tanzania pekee ni nafasi ya kuipenda nchi ambayo sio ya kupigiwa kura wala ya kuteuliwaMkuu, ungetukumbusha pia kuwa weww ni NANI labda.
Kwani umeshapewa hiyo nafasi ya kuipenda nchi?
Unayo ushahidi wa kila uliloliongea?
Kariakoo wamegoma kule!