Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

Tanzania tuna Wakulima wa Bustani,wewe unalima heka moja au tano unajiita Mkulima kweli!
Kama tunataka kuwekeza kwenye Kilimo ni mwendo wa kufungua plantations au Ranches au mnafikiri Mwalimu Nyerere alikuwa mjinga?
Mapinduzi ya Kilimo kwa bajeti ya Bilioni 900,kweli!
Mkuu hii initiative ina empower natives, indeed hatuwezi kulima plantations, but kwa wingi wetu tuta cover more ground than plantations
 
Ekari Tano kwa mtu mmoja nyingi Sana kwa vipato vyetu',hizo ni gunia 200 za mpunga,au 150 za mahindi...unataka kila mkulima tz awe na ranches au plantations!?..hivi huwa mnafikiri au ndiyo mradi kupinga tu
 
Taifa lina watu wengi wa hovyo
 
Wasalamu wana JF,

Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi

Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo.

Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani ukihakikisha mkulima anapata bei nzuri ya mazao yake inayotokana na ushindani wa soko, maana yake umenyanyua vipato vya wakulima ambao ni raia wengi sana.

Impact yake ni nini, vijana wengi wataingia kwenye kilimo kama ajira rasmi, uzalishaji utaongezeka na pia utanyunyua GDP na pato la wastani la wananchi wengi, mwisho wake ni kwamba unaongeza purchasing power ya watu wengi na kuboresha hali za maisha za watu wako.

Hatua anazochukua Bashe ni za kimapinduzi na za kizalendo.

Bashe alindwe na apewe ushirikiano.
Bashe anafaa kuwa Raisi wa hii nchi ya kusadikika....!! Hatuwez kuwa tunalima alaf inakuwa kama Mali ya Uma , tunapangiana bei , mara upangiwe pa kuuza , upumbavu kabisa
 
Hakika, Ifike mahali tuheshimu kilimo kama biashara nyingine yeyote
 
Mkuu hii initiative ina empower natives, indeed hatuwezi kulima plantations, but kwa wingi wetu tuta cover more ground than plantations
Mna-cover kwa tija gani?mbona miaka yote tume-cover tumefika wapi?Sisemi kwamba Small farmers waachwe hapana na wao wasaidiwe kwa programs mbadala ila focus iwe kwenye Kilimo cha mashamba makaubwa!
 
Wasalamu wana JF,

Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi

Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo.

Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani ukihakikisha mkulima anapata bei nzuri ya mazao yake inayotokana na ushindani wa soko, maana yake umenyanyua vipato vya wakulima ambao ni raia wengi sana.

Impact yake ni nini, vijana wengi wataingia kwenye kilimo kama ajira rasmi, uzalishaji utaongezeka na pia utanyunyua GDP na pato la wastani la wananchi wengi, mwisho wake ni kwamba unaongeza purchasing power ya watu wengi na kuboresha hali za maisha za watu wako.

Hatua anazochukua Bashe ni za kimapinduzi na za kizalendo.

Bashe alindwe na apewe ushirikiano.
Wewe ushawahi kujiuliza kwa nini kwenye kilimo wanatoa Ruzuku ambazo ni fedha za wanachi lakini hawawezi kusimamia upandaji wa vyakula unapokuwa mkubwa kuweza kuathiri wananchi?
Bashe anaweza kuwa mzuri lakini naona ni kama mtu wa theory sana aka mzee wa very danger!
 
Hakuna mzalendo hapo na hakuna mkulima anatefaidika na mazao kuuzwa nje ya nchi zaidi ya mafisadi

Yupo kwenye uwaziri kwasababu mzee yupo kwenye chama
Toka hapo kwenye Keyboard uje huku shamba uone maisha ya wakulima yanavyo badilika msimu huu naona watu wanapandisha nyumba za matofali ya Cement tu hali ni nzuri kwa kweli.
 
Mna-cover kwa tija gani?mbona miaka yote tume-cover tumefika wapi?Sisemi kwamba Small farmers waachwe hapana na wao wasaidiwe kwa programs mbadala ila focus iwe kwenye Kilimo cha mashamba makaubwa!
Mkuu bei ya mazao inapoongezeka naturally wakulima wataitafuta tija, wata employ best practices na watafuata ushauri wa mabwana na mabibi shamba its natural process. Kwanza bei ya haki na ushindani iwepo
 
Toka hapo kwenye Keyboard uje huku shamba uone maisha ya wakulima yanavyo badilika msimu huu naona watu wanapandisha nyumba za matofali ya Cement tu hali ni nzuri kwa kweli.
Hawa ndiyo wale wanaoishi maisha ya ndoto
 
Wewe ushawahi kujiuliza kwa nini kwenye kilimo wanatoa Ruzuku ambazo ni fedha za wanachi lakini hawawezi kusimamia upandaji wa vyakula unapokuwa mkubwa kuweza kuathiri wananchi?
Bashe anaweza kuwa mzuri lakini naona ni kama mtu wa theory sana aka mzee wa very danger!
ni lengo la serikali kutoa incentives ili ku strengthen sector ya kilimo, hakuna ubaya wowote, na ni positive move kuchochea uzalishaji
 
Mkuu bei ya mazao inapoongezeka naturally wakulima wataitafuta tija, wata employ best practices na watafuata ushauri wa mabwana na mabibi shamba its natural process. Kwanza bei ya haki na ushindani iwepo
Wewe ulishawahi kulima au unashabikia ujinga hapa! Wengi wanao nufaika ni madalali hao wakulima wengi hawana kazi za kuwaingizia kipato mwaka mzima ndo maana wakishavuna tu wanawauzia hao madalali na baadae wanakuja kuuza kwa bei ya juu!
Serkali kama inaweza ijipange vizuri katika kuwainua wakulima watoke kwenye kilimo cha jembe la mkono ili waweze kuwa wazalishaji wakubwa tofauti na sasa ni kutumika tu na wanasiasa na wafanya biashara!
Chakula kinapanda waziri anakuja kuongea ujinga eti serkaili imetoa ruzuku kwa wakulima,Je hizo fedha za ruzuzku si za wananchi! Kwa nini chakula kikipanda wasiwasaidie wananchi ambao wametoa ruzuku kuwasaidia hao wakulima!
 
Hizo ni changamoto ndogo sana kwenye chain ya uzalishaji, sheria rekebu zitatungwa kuondoa hao watu wa kati. Mkuu kuna gap kubwa sana ya akili kati yangu na yako
 
ni lengo la serikali kutoa incentives ili ku strengthen sector ya kilimo, hakuna ubaya wowote, na ni positive move kuchochea uzalishaji
Hakuna cha positive move chakula kikipanda hata sekta zingine zinadorola wanachi wanakuwa bize kutafuita hela ya kula tu! Purchasing power kwenye maeneo mengine inshuka!
Kama umeangalia BBC jana nchini Nigeria watu wanahama nchi kwa sababu gharama za maisha zimeongezeka sana hususani chakula!
 
nenda kalime uzalishe chako cha bei rahisi
 
Hizo ni changamoto ndogo sana kwenye chain ya uzalishaji, sheria rekebu zitatungwa kuondoa hao watu wa kati. Mkuu kuna gap kubwa sana ya akili kati yangu na yako
Wewe mi huwezi kunishinda akili hata kidogo chakula kikipanda haisaidii nchi!
kawadanganye wasiojua bishara!
Nikuulize mtu ataenda kununua nguo aache kununua chakula? au mtu ataenda kuvywa hata bia nyumbani chakula hamna? Jibu unalo na hauoni kuwa tayari kupanda kwa chakula kunaathri uchumi wa nchi!?
 
Back
Top Bottom