Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

Hakuna jitihada isiyo na changamoto, zitatatuliwa jinsi zinavyotokea, hii ndiyo njia pekee ya kuwainua wakulima na kuinua uchumi wa nchi yetu
Nchi hii kila chenye mafanikio huwa kinatokea tu kwa BAHATI ya Mungu.

Na kikishatokea ikaonekana kina MASLAHI MaCCM huwa yanakivamia na kukiwekea vikwazo mpaka KINAKUFA.

Iko wapi Kahawa Chai, Cocoa, Ufuta Mbaazi na KOROSHO ????

Sasa hivi MiCCM inajifanya iko busy na PARACHICHI. Subiri utaona.

MaCCM NI SHETANI mwenye MENO MAKALI Mnyonya DAMU.
 
Wewe mi huwezi kunishinda akili hata kidogo chakula kikipanda haisaidii nchi!
kawadanganye wasiojua bishara!
Nikuulize mtu ataenda kununua nguo aache kununua chakula? au mtu ataenda kuvywa hata bia nyumbani chakula hamna? Jibu unalo na hauoni kuwa tayari kupanda kwa chakula kunaathri uchumi wa nchi!?
kwanza sidhani kama unazo
 
nenda kalime uzalishe chako cha bei rahisi
Mi mwenyewe ni mkulima na mfanya biashara mzuri tu! Wewe upo mjni unajamba wanaume tunalima! Mi naongea logic jinsi gani wafabiashara wa secta tofauti na kilimo biashara zinakuwa ngumu maana wateja wao na wanachi kwa ujumla wanahangaikia chakula na kuacha kufanya vitu vingine!
 
Mi mwenyewe ni mkulima na mfanya biashara mzuri tu! Wewe upo mjni unajamba wanaume tunalima! Mi naongea logic jinsi gani wafabiashara wa secta tofauti na kilimo biashara zinakuwa ngumu maana wateja wao na wanachi kwa ujumla wanahangaikia chakula na kuacha kufanya vitu vingine!
Wewe uko kwa shemeji yako ukisikiliza dada yako anavyonyanduliwa, you know nothing about nothing
 
kwanza sidhani kama unazo
Wewe kuwa hapa jamii forum unadhani wote ni vilaza kama wewe! Au unadhani kuwa na degrii zako za kibongo ambazo ni full theory ndo una akili!
Watu tunaelimu lakini tunalima na kufanya bishara na ukumbuke vitu vinategemeana vikishindwa kubalance uchumi haukai sawa!
Fanya biashara ndo utakuja hapa kujadili kwa akili!
 
Wewe uko kwa shemeji yako ukisikiliza dada yako anavyonyanduliwa, you know nothing about nothing
Kwa shemeji yangu ndo kitu gani? Jadili hoja hapa acha mambo ya kukaa kwa shemeji hayakusaidi kitu ni kujifariji tu ujinga!
 
Wewe kuwa hapa jamii forum unadhani wote ni vilaza kama wewe! Au unadhani kuwa na degrii zako za kibongo ambazo ni full theory ndo una akili!
Watu tunaelimu lakini tunalima na kufanya bishara na ukumbuke vitu vinategemeana vikishindwa kubalance uchumi haukai sawa!
Fanya biashara ndo utakuja hapa kujadili kwa akili!ru
Rubbish
 
Wewe ulishawahi kulima au unashabikia ujinga hapa! Wengi wanao nufaika ni madalali hao wakulima wengi hawana kazi za kuwaingizia kipato mwaka mzima ndo maana wakishavuna tu wanawauzia hao madalali na baadae wanakuja kuuza kwa bei ya juu!
Serkali kama inaweza ijipange vizuri katika kuwainua wakulima watoke kwenye kilimo cha jembe la mkono ili waweze kuwa wazalishaji wakubwa tofauti na sasa ni kutumika tu na wanasiasa na wafanya biashara!
Chakula kinapanda waziri anakuja kuongea ujinga eti serkaili imetoa ruzuku kwa wakulima,Je hizo fedha za ruzuzku si za wananchi! Kwa nini chakula kikipanda wasiwasaidie wananchi ambao wametoa ruzuku kuwasaidia hao wakulima!
Na Bashe ni mnufaika mkubwa maana na yeye ananunua mazao kwa wakulima kwa bei Chee na kuweka stoo baadae auze kwa bei kubwa , hivyo anawalinda madalali wenzake

Hakuna mkulima wa kuanzia ekari 0 Hadi 10 anayenufaika na bei , Bashe yeye anamtumia Dada yake kufanya hizo dili na mwaka Jana amepata Mkopo kutoka bank flani kwa ajili ya kununua mazao

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Wasalamu wana JF,

Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi

Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo.

Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani ukihakikisha mkulima anapata bei nzuri ya mazao yake inayotokana na ushindani wa soko, maana yake umenyanyua vipato vya wakulima ambao ni raia wengi sana.

Impact yake ni nini, vijana wengi wataingia kwenye kilimo kama ajira rasmi, uzalishaji utaongezeka na pia utanyunyua GDP na pato la wastani la wananchi wengi, mwisho wake ni kwamba unaongeza purchasing power ya watu wengi na kuboresha hali za maisha za watu wako.

Hatua anazochukua Bashe ni za kimapinduzi na za kizalendo.

Bashe alindwe na apewe ushirikiano.
Nimeshasema wazi wazi kwangu Rais ni huyu! He has all the moral authority!
 
Hivi kwa nini kilimo kisiwe somo la lazima toka std one mpk university? kama kweli ndio uti wa mgongo wa nchi?
Warudishe masomo hayo mashuleni
Siyo wanaacha watoto wanakatakata mauno tu

Ova
 
FAver kwa tija gani?mbona miaka yote tume-cover tumefika wapi?Sisemi kwamba Small farmers waachwe hapana na wao wasaidiwe kwa programs mbadala ila focus iwe kwenye Kilimo cha mashamba makaubwa!
Afanye nani hayo mashamba makubwa,serikali!?...ilishashindwa na si vizuri serikali kulima na kuchunga ng'ombe..watanzania zaidi ya 60% ni wakulima,ukiwawezesha kulima vizuri walau ekari mbili kila mtu na soko likawa murua..basi unakua umeondoa umasikini kwa wengi sana na umenyanyua uchumi wa nchi...kwa Sasa Kuna project ya ekari kumi kwa kila kijana inaendeshwa na serikali..najua huna taarifa,itafute uende upunguze chuki kwa serikali yako
 
Back
Top Bottom