MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hii initiative ina empower natives, indeed hatuwezi kulima plantations, but kwa wingi wetu tuta cover more ground than plantationsTanzania tuna Wakulima wa Bustani,wewe unalima heka moja au tano unajiita Mkulima kweli!
Kama tunataka kuwekeza kwenye Kilimo ni mwendo wa kufungua plantations au Ranches au mnafikiri Mwalimu Nyerere alikuwa mjinga?
Mapinduzi ya Kilimo kwa bajeti ya Bilioni 900,kweli!
HakikaAsili ya mtu sio kigezo? Nenda na wewe Somalia tuonea kama unaweza kuwa waziri kule.
usikute yupo kwa shemeji yake anaosha vyombo na kupeleka watoto shulePrejudice is a chain,it can hold you,you can't move,you keep prejudice for years,
Never get nowhere with that.
Ekari Tano kwa mtu mmoja nyingi Sana kwa vipato vyetu',hizo ni gunia 200 za mpunga,au 150 za mahindi...unataka kila mkulima tz awe na ranches au plantations!?..hivi huwa mnafikiri au ndiyo mradi kupinga tuTanzania tuna Wakulima wa Bustani,wewe unalima heka moja au tano unajiita Mkulima kweli!
Kama tunataka kuwekeza kwenye Kilimo ni mwendo wa kufungua plantations au Ranches au mnafikiri Mwalimu Nyerere alikuwa mjinga?
Mapinduzi ya Kilimo kwa bajeti ya Bilioni 900,kweli!
Taifa lina watu wengi wa hovyoEkari Tano kwa mtu mmoja nyingi Sana kwa vipato vyetu',hizo ni gunia 200 za mpunga,au 150 za mahindi...unataka kila mkulima tz awe na ranches au plantations!?..hivi huwa mnafikiri au ndiyo mradi kupinga tu
Bashe anafaa kuwa Raisi wa hii nchi ya kusadikika....!! Hatuwez kuwa tunalima alaf inakuwa kama Mali ya Uma , tunapangiana bei , mara upangiwe pa kuuza , upumbavu kabisaWasalamu wana JF,
Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi
Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo.
Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani ukihakikisha mkulima anapata bei nzuri ya mazao yake inayotokana na ushindani wa soko, maana yake umenyanyua vipato vya wakulima ambao ni raia wengi sana.
Impact yake ni nini, vijana wengi wataingia kwenye kilimo kama ajira rasmi, uzalishaji utaongezeka na pia utanyunyua GDP na pato la wastani la wananchi wengi, mwisho wake ni kwamba unaongeza purchasing power ya watu wengi na kuboresha hali za maisha za watu wako.
Hatua anazochukua Bashe ni za kimapinduzi na za kizalendo.
Bashe alindwe na apewe ushirikiano.
Hakika, Ifike mahali tuheshimu kilimo kama biashara nyingine yeyoteBashe anafaa kuwa Raisi wa hii nchi ya kusadikika....!! Hatuwez kuwa tunalima alaf inakuwa kama Mali ya Uma , tunapangiana bei , mara upangiwe pa kuuza , upumbavu kabisa
Mna-cover kwa tija gani?mbona miaka yote tume-cover tumefika wapi?Sisemi kwamba Small farmers waachwe hapana na wao wasaidiwe kwa programs mbadala ila focus iwe kwenye Kilimo cha mashamba makaubwa!Mkuu hii initiative ina empower natives, indeed hatuwezi kulima plantations, but kwa wingi wetu tuta cover more ground than plantations
Wewe ushawahi kujiuliza kwa nini kwenye kilimo wanatoa Ruzuku ambazo ni fedha za wanachi lakini hawawezi kusimamia upandaji wa vyakula unapokuwa mkubwa kuweza kuathiri wananchi?Wasalamu wana JF,
Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi
Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo.
Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani ukihakikisha mkulima anapata bei nzuri ya mazao yake inayotokana na ushindani wa soko, maana yake umenyanyua vipato vya wakulima ambao ni raia wengi sana.
Impact yake ni nini, vijana wengi wataingia kwenye kilimo kama ajira rasmi, uzalishaji utaongezeka na pia utanyunyua GDP na pato la wastani la wananchi wengi, mwisho wake ni kwamba unaongeza purchasing power ya watu wengi na kuboresha hali za maisha za watu wako.
Hatua anazochukua Bashe ni za kimapinduzi na za kizalendo.
Bashe alindwe na apewe ushirikiano.
Toka hapo kwenye Keyboard uje huku shamba uone maisha ya wakulima yanavyo badilika msimu huu naona watu wanapandisha nyumba za matofali ya Cement tu hali ni nzuri kwa kweli.Hakuna mzalendo hapo na hakuna mkulima anatefaidika na mazao kuuzwa nje ya nchi zaidi ya mafisadi
Yupo kwenye uwaziri kwasababu mzee yupo kwenye chama
Mkuu bei ya mazao inapoongezeka naturally wakulima wataitafuta tija, wata employ best practices na watafuata ushauri wa mabwana na mabibi shamba its natural process. Kwanza bei ya haki na ushindani iwepoMna-cover kwa tija gani?mbona miaka yote tume-cover tumefika wapi?Sisemi kwamba Small farmers waachwe hapana na wao wasaidiwe kwa programs mbadala ila focus iwe kwenye Kilimo cha mashamba makaubwa!
Hawa ndiyo wale wanaoishi maisha ya ndotoToka hapo kwenye Keyboard uje huku shamba uone maisha ya wakulima yanavyo badilika msimu huu naona watu wanapandisha nyumba za matofali ya Cement tu hali ni nzuri kwa kweli.
ni lengo la serikali kutoa incentives ili ku strengthen sector ya kilimo, hakuna ubaya wowote, na ni positive move kuchochea uzalishajiWewe ushawahi kujiuliza kwa nini kwenye kilimo wanatoa Ruzuku ambazo ni fedha za wanachi lakini hawawezi kusimamia upandaji wa vyakula unapokuwa mkubwa kuweza kuathiri wananchi?
Bashe anaweza kuwa mzuri lakini naona ni kama mtu wa theory sana aka mzee wa very danger!
Wewe ulishawahi kulima au unashabikia ujinga hapa! Wengi wanao nufaika ni madalali hao wakulima wengi hawana kazi za kuwaingizia kipato mwaka mzima ndo maana wakishavuna tu wanawauzia hao madalali na baadae wanakuja kuuza kwa bei ya juu!Mkuu bei ya mazao inapoongezeka naturally wakulima wataitafuta tija, wata employ best practices na watafuata ushauri wa mabwana na mabibi shamba its natural process. Kwanza bei ya haki na ushindani iwepo
Acha ubaguzi weweBashe ni msomali. Kachagua kujifungamanisha na kundi la wahuni. Nyie chawa wake anawapa tabu tu, tunamfahamu.
Hizo ni changamoto ndogo sana kwenye chain ya uzalishaji, sheria rekebu zitatungwa kuondoa hao watu wa kati. Mkuu kuna gap kubwa sana ya akili kati yangu na yakoWewe ulishawahi kulima au unashabikia ujinga hapa! Wengi wanao nufaika ni madalali hao wakulima wengi hawana kazi za kuwaingizia kipato mwaka mzima ndo maana wakishavuna tu wanawauzia hao madalali na baadae wanakuja kuuza kwa bei ya juu!
Serkali kama inaweza ijipange vizuri katika kuwainua wakulima watoke kwenye kilimo cha jembe la mkono ili waweze kuwa wazalishaji wakubwa tofauti na sasa ni kutumika tu na wanasiasa na wafanya biashara!
Chakula kinapanda waziri anakuja kuongea ujinga eti serkaili imetoa ruzuku kwa wakulima,Je hizo fedha za ruzuzku si za wananchi! Kwa nini chakula kikipanda wasiwasaidie wananchi ambao wametoa ruzuku kuwasaidia hao wakulima!
Hakuna cha positive move chakula kikipanda hata sekta zingine zinadorola wanachi wanakuwa bize kutafuita hela ya kula tu! Purchasing power kwenye maeneo mengine inshuka!ni lengo la serikali kutoa incentives ili ku strengthen sector ya kilimo, hakuna ubaya wowote, na ni positive move kuchochea uzalishaji
nenda kalime uzalishe chako cha bei rahisiHakuna cha positive move chakula kikipanda hata sekta zingine zinadorola wanachi wanakuwa bize kutafuita hela ya kula tu! Purchasing power kwenye maeneo mengine inshuka!
Kama umeangalia BBC jana nchini Nigeria watu wanahama nchi kwa sababu gharama za maisha zimeongezeka sana hususani chakula!
Wewe mi huwezi kunishinda akili hata kidogo chakula kikipanda haisaidii nchi!Hizo ni changamoto ndogo sana kwenye chain ya uzalishaji, sheria rekebu zitatungwa kuondoa hao watu wa kati. Mkuu kuna gap kubwa sana ya akili kati yangu na yako