Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

Hakuna jitihada isiyo na changamoto, zitatatuliwa jinsi zinavyotokea, hii ndiyo njia pekee ya kuwainua wakulima na kuinua uchumi wa nchi yetu
Nchi hii kila chenye mafanikio huwa kinatokea tu kwa BAHATI ya Mungu.

Na kikishatokea ikaonekana kina MASLAHI MaCCM huwa yanakivamia na kukiwekea vikwazo mpaka KINAKUFA.

Iko wapi Kahawa Chai, Cocoa, Ufuta Mbaazi na KOROSHO ????

Sasa hivi MiCCM inajifanya iko busy na PARACHICHI. Subiri utaona.

MaCCM NI SHETANI mwenye MENO MAKALI Mnyonya DAMU.
 
kwanza sidhani kama unazo
 
nenda kalime uzalishe chako cha bei rahisi
Mi mwenyewe ni mkulima na mfanya biashara mzuri tu! Wewe upo mjni unajamba wanaume tunalima! Mi naongea logic jinsi gani wafabiashara wa secta tofauti na kilimo biashara zinakuwa ngumu maana wateja wao na wanachi kwa ujumla wanahangaikia chakula na kuacha kufanya vitu vingine!
 
Wewe uko kwa shemeji yako ukisikiliza dada yako anavyonyanduliwa, you know nothing about nothing
 
kwanza sidhani kama unazo
Wewe kuwa hapa jamii forum unadhani wote ni vilaza kama wewe! Au unadhani kuwa na degrii zako za kibongo ambazo ni full theory ndo una akili!
Watu tunaelimu lakini tunalima na kufanya bishara na ukumbuke vitu vinategemeana vikishindwa kubalance uchumi haukai sawa!
Fanya biashara ndo utakuja hapa kujadili kwa akili!
 
Wewe uko kwa shemeji yako ukisikiliza dada yako anavyonyanduliwa, you know nothing about nothing
Kwa shemeji yangu ndo kitu gani? Jadili hoja hapa acha mambo ya kukaa kwa shemeji hayakusaidi kitu ni kujifariji tu ujinga!
 
Rubbish
 
Na Bashe ni mnufaika mkubwa maana na yeye ananunua mazao kwa wakulima kwa bei Chee na kuweka stoo baadae auze kwa bei kubwa , hivyo anawalinda madalali wenzake

Hakuna mkulima wa kuanzia ekari 0 Hadi 10 anayenufaika na bei , Bashe yeye anamtumia Dada yake kufanya hizo dili na mwaka Jana amepata Mkopo kutoka bank flani kwa ajili ya kununua mazao

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Nimeshasema wazi wazi kwangu Rais ni huyu! He has all the moral authority!
 
Ndiyo mkalime au makwenu tengenezeni bustanikwa faida yenu

Ova
 
Hivi kwa nini kilimo kisiwe somo la lazima toka std one mpk university? kama kweli ndio uti wa mgongo wa nchi?
Warudishe masomo hayo mashuleni
Siyo wanaacha watoto wanakatakata mauno tu

Ova
 
FAver kwa tija gani?mbona miaka yote tume-cover tumefika wapi?Sisemi kwamba Small farmers waachwe hapana na wao wasaidiwe kwa programs mbadala ila focus iwe kwenye Kilimo cha mashamba makaubwa!
Afanye nani hayo mashamba makubwa,serikali!?...ilishashindwa na si vizuri serikali kulima na kuchunga ng'ombe..watanzania zaidi ya 60% ni wakulima,ukiwawezesha kulima vizuri walau ekari mbili kila mtu na soko likawa murua..basi unakua umeondoa umasikini kwa wengi sana na umenyanyua uchumi wa nchi...kwa Sasa Kuna project ya ekari kumi kwa kila kijana inaendeshwa na serikali..najua huna taarifa,itafute uende upunguze chuki kwa serikali yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…