Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
 
Ni jambo jema kwamba wote ni wana CCM na wataipeperusha vizuri Bendera ya CCM muda utakapowadia na mmoja wao kupata ridhaa!
 
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Ni mawazo yako nayanatakiwa kuheshimiwa
"SIJASOMA HATA AYA MOJA"
 
..kwa walipoifikisha nchi Ccm wasifikirie Uraisi 2030.

..Ccm wajielekeze kwenye ubunge peke yake huku chama kikifanya kazi ya kujuvua gamba.

..kung'ang'ania Uraisi ndio kumesababisha Ccm kujitumbukiza kwenye umwagaji damu.
 
CHADEMA wacheze karata zao vizuri walau mpaka 2030 chama kiwepo na kiwe na hiihii energy
 
Back
Top Bottom