Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

CCM mmetawala kwa muda mrefu sana. Ni wkt wa CDM kututoa kwenye shima ambalo CCM wameitumbukiza hii nchi.
Wanaogopa Sana. Na hili linathibitishwa na matumizi yao ya nguvu kupita kiasi ili wabaki madarakani
 
Majaliwa Sawa Ila Emanuel nina mashaka nae sana

..Majaliwa si ndio alikuwa Waziri Mkuu OCT 29?

..Pia alikuwa ktk nafasi hiyo wakati Mzee Ally Kibao akiuwawa, Humphrey Polepole na wengine wengi wakitekwa na kupotezwa.

..Majaliwa ndio alikuwa Waziri Mkuu Sept 2017 wakati Tundu Lissu aliposhambuliwa.

..Sielewi kiongozi aliyetumikia ktk utawala wenye kashfa mbaya kiasi hicho anaweza vipi kuthubutu kugombea nafasi kubwa zaidi.

..CV ya Kassim Majaliwa ina damu na hapaswi kurudi tena ktk uongozi.
 
..Majaliwa si ndio alikuwa Waziri Mkuu OCT 29.

..Pia alikuwa ktk nafasi hiyo wakati Mzee Ally Kibao akiuwawa, Humphrey Polepole na wengine wengi wakitekwa na kupotezwa.

..Majaliwa ndio alikuwa Waziri Mkuu Sept 2017 wakati Tundu Lissu aliposhambuliwa.

..Sielewi kiongozi aliyetumikia ktk utawala wenye kashfa mbaya kiasi hicho anaweza vipi kuthubutu kugombea nafasi kubwa zaidi.

..CV ya Kassim Majaliwa ina damu na hapaswi kurudi tena ktk uongozi.
Kabisa!
 
Kwa Katiba hii ili mradi tuwe na Rais! Lakini sioni anayeweza kulisaidia Taifa kwa tulikofika.
 
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Hawa jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!

Wote wawili wamejijengea heshma kubwa sana kwa watanzania. Yoyote atakayepata, atakibeba chama.
 
Haya jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!

Wote wawili wamejijengea heshma kubwa sana kwa watanzania. Yoyote atakayepata, atakibeba chama.
Majaliwa ana historia ya kutuambia John yupo ikulu anachambua mafaili wakati huo John mwenyewe yupo kwenye sickbed.
 
Kama CCM wakiwa serious na nchi, wamlete Mwinyi huku toka Zanzibar. Jamaa ka prove ni mtu smart sana, hana makelele na kazi inaonekana.

Shida CCM ni mfumo! Hata unayemuona yuko vizuri akiingia kwenye mfumo lazima mambo yaende jinsi mfumo ulivyo.

Wapinzani waingie bungeni kwa wingi, kuwa na rais smart inaweza saidia hata kwa kiasi fulani.

Mimi siyo mdau wa democrasia sana hasa ukanda wetu wa Africa, akitokea rais mwenye matumaini na matokeo yanaonekana hata akitokea upande wowote siyo mbaya.

Africa ukifuata democrasia inavyotaka hauwezi fika mahali, hatuja staarabika sisi.
 
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Kama watakuja kwa tiketi ya ccm ni bora wasije
 
Back
Top Bottom