Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
CCM mmetawala kwa muda mrefu sana. Ni wkt wa CDM kututoa kwenye shima ambalo CCM wameitumbukiza hii nchi.
 
CCM NI ILE ILE.
NI WALE WALE.

Huo ni Upumbavu tu,
sawa na Kujaribu kutafuta bikra wodi ya wazazi.

Tumekwambia nchi ina matagizo mazito mno kuliko rais,
Rais wa CCM hana uwezo wa kutatua matatizo ya watanzania.
 
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Umekumbwa na kitu gani?
 
Mgombea wa CCM wa 2030 atateuliwa na Msoga na atakuwa Rizimoko
 
Back
Top Bottom