Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla hata ya 2030. Huyo mama karma haimuachi, ameshatepeta, kimwili na kiakili. Kwa mauaji ya maelfu ya watu, ufisadi na wizi; huyu mama hatoboi 2030.
Vyovyote vile, tusochotaka sisi watanzania ni hao wake na mawakala wa wazungu kuchukua hii nchi. Hilo kamwe halitotokea. Tunamshukuru sana Samia kwa kuiokoa nchi yetu kutoka katika makucha ya wale wa*!'$-# waliotaka kuiharibu na kuisambaratisha.
 
Nashukuru kwa kukubali kuwa, huyo mama ni muuaji wa wanawake na watoto.
 
Umetumwa...Rubbish.

Nchi inatakuwa kupata katiba mpya..walioua watanganyika Oct 29-31 wawajibishwe wewe unaleta mambo ya kupeperusha bendera .????

Pathetic fool
 
Haya jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!

Wote wawili wamejijengea heshma kubwa sana kwa watanzania. Yoyote atakayepata, atakibeba chama.

..hawana heshima yoyote.

..Majaliwa ndio Waziri Mkuu katika utawala uliomwaga damu kuliko wowote tangu Uhuru.

..Mawaziri, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, waliotumikia wakati wa Jpm, na Ssh, ni watu wasiofaa ktk uongozi.

..Tukiwabakisha hao ktk uongozi tusijekushangaa tumepatwa na jambo kubwa kuliko lile la OCT 29.
 
Hizo kura mmepiga lini humu jf kiongozi??
Mtibeli kwa kujiamulia mambo hujambo aloo.
 
Major is my future president,

He is Presidential material,

Namuomba Mungu afanyie wepesi hili.
Ni mtu pekee aliye na uwezo wa kukisimamia anachokiamini akipewa Mamlaka na wananchi.

Mungu Ibarik Tanzania
 
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Kwa majaliwa ni ngumu kugombea Urais maana katiba inakataza kuwa kama uliwahi kuwa waziri hauruhisiwi tena kugombea Urais labda ahame chama kama alivyofanya lowasa.
 
Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla hata ya 2030. Huyo mama karma haimuachi, ameshatepeta, kimwili na kiakili. Kwa mauaji ya maelfu ya watu, ufisadi na wizi; huyu mama hatoboi 2030.
Sio by de jure?
 
Hamjambo!

Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.

Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.

Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?

Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Chai.

Wote hatuwataki.
 
Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla hata ya 2030. Huyo mama karma haimuachi, ameshatepeta, kimwili na kiakili. Kwa mauaji ya maelfu ya watu, ufisadi na wizi; huyu mama hatoboi 2030.
dua la mpumbavu
 
Back
Top Bottom