Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Haswaaa majiliwa kasimu nadhani ndio mtu mwenye uwezo wakuwapooza CDM ingawaje CCM ni ile ile
TutaonaTunaenda na Dr. Imaaa
Ni jambo jema kwamba wote ni wana CCM na wataipeperusha vizuri Bendera ya CCM muda utakapowadia na mmoja wao kupata ridhaa!Hamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.
Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?
Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Kwamba hii nchi ni shamba la Macca na RomaBaada ya msikiti anayefuata ni muitaliano.
Ni mawazo yako nayanatakiwa kuheshimiwaHamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.
Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?
Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Ni mawazo yako nayanatakiwa kuheshimiwa
"SIJASOMA HATA AYA MOJA"
..kwa walipoifikisha nchi Ccm wasifikirie Uraisi 2030.
..Ccm wajielekeze kwenye ubunge peke yake huku chama kikifanya kazi ya kujuvua gamba.
..kung'ang'ania Uraisi ndio kumesababisha Ccm kujitumbukiza kwenye umwagaji damu.
TUNAENDA NA LISSU/HECHE 2030.
Tutoleeni uhanithi wenu.
Nyie watu kumbukumbu zenu huwa mnapeleka wapi ?Haswaaa majiliwa kasimu nadhani ndio mtu mwenye uwezo wakuwapooza CDM ingawaje CCM ni ile ile