Mpaka sasa, Emanuel Nchimbi na Kasimu Majaliwa ndio wenye ushawishi humu JF kupeperusha Ticket ya urais 2030

CCM mmetawala kwa muda mrefu sana. Ni wkt wa CDM kututoa kwenye shima ambalo CCM wameitumbukiza hii nchi.
 
Majaliwa Sawa Ila Emanuel nina mashaka nae sana
 
CCM NI ILE ILE.
NI WALE WALE.

Huo ni Upumbavu tu,
sawa na Kujaribu kutafuta bikra wodi ya wazazi.

Tumekwambia nchi ina matagizo mazito mno kuliko rais,
Rais wa CCM hana uwezo wa kutatua matatizo ya watanzania.
 
Umekumbwa na kitu gani?
 
Mgombea wa CCM wa 2030 atateuliwa na Msoga na atakuwa Rizimoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…