StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Wanaogopa Sana. Na hili linathibitishwa na matumizi yao ya nguvu kupita kiasi ili wabaki madarakaniCCM mmetawala kwa muda mrefu sana. Ni wkt wa CDM kututoa kwenye shima ambalo CCM wameitumbukiza hii nchi.
Naona 😅😃😃😃😃humu ni tunakaa kitaalamu.
Aaaaah marhaba
Sijui wana obsession gani na huyu mtu muongo muongo!Aliyesema Magufuli yupo ofisini anapiga kazi?.
Maendeleo halisi hayaletwi na ulaghai
Majaliwa Sawa Ila Emanuel nina mashaka nae sana
Hata mimi wananchi wenzangu hawa huwa wananishangaza sana. Hivi uongozi hapa Tz unachukuliwaje?Sijui wana obsession gani na huyu mtu muongo muongo!
Ajiuzulu kwanza kuonyesha hayupo mezani na vibaka .Kwa hiyo ahamie CHADEMA?
Kabisa!..Majaliwa si ndio alikuwa Waziri Mkuu OCT 29.
..Pia alikuwa ktk nafasi hiyo wakati Mzee Ally Kibao akiuwawa, Humphrey Polepole na wengine wengi wakitekwa na kupotezwa.
..Majaliwa ndio alikuwa Waziri Mkuu Sept 2017 wakati Tundu Lissu aliposhambuliwa.
..Sielewi kiongozi aliyetumikia ktk utawala wenye kashfa mbaya kiasi hicho anaweza vipi kuthubutu kugombea nafasi kubwa zaidi.
..CV ya Kassim Majaliwa ina damu na hapaswi kurudi tena ktk uongozi.
Hata mimi wananchi wenzangu hawa huwa wananishangaza sana. Hivi uongozi hapa Tz unachukuliwaje?
Kabisa!..Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, waliokuwa Ofisini kipindi cha Jpm, na Ssh, hawapaswi kupewa nafasi yoyote ya uongozi Tanzania.
Ajiuzulu kwanza kuonyesha hayupo mezani na vibaka .
Hawa jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!Hamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.
Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?
Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Watanzania si ndio sisi sasa😀😀😀Sijui wana obsession gani na huyu mtu muongo muongo!
Labda ianzishwe Tz nyingine.Wajerumani na wamarekani zamu yetu Lini?
Majaliwa ana historia ya kutuambia John yupo ikulu anachambua mafaili wakati huo John mwenyewe yupo kwenye sickbed.Haya jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!
Wote wawili wamejijengea heshma kubwa sana kwa watanzania. Yoyote atakayepata, atakibeba chama.
Sio lazima awe yeyeSo ni Nchimbi?
Katiba isiyoandikwa.Kwamba hii nchi ni shamba la Macca na Roma
Kama watakuja kwa tiketi ya ccm ni bora wasijeHamjambo!