Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Vyovyote vile, tusochotaka sisi watanzania ni hao wake na mawakala wa wazungu kuchukua hii nchi. Hilo kamwe halitotokea. Tunamshukuru sana Samia kwa kuiokoa nchi yetu kutoka katika makucha ya wale wa*!'$-# waliotaka kuiharibu na kuisambaratisha.Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla hata ya 2030. Huyo mama karma haimuachi, ameshatepeta, kimwili na kiakili. Kwa mauaji ya maelfu ya watu, ufisadi na wizi; huyu mama hatoboi 2030.
Haya jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!
Wote wawili wamejijengea heshma kubwa sana kwa watanzania. Yoyote atakayepata, atakibeba chama.
Vyovyote vile, tusochotaka sisi watanzania ni hao wake na mawakala wa wazungu kuchukua hii nchi. Hilo kamwe halitotokea. Tunamshukuru sana Samia kwa kuiokoa nchi yetu kutoka katika makucha ya wale wa*!'$-# waliotaka kuiharibu na kuisambaratisha.
Haya jamaa wakijitokeza kuchukua fomu za urais, hiyo mbungi yake, nyasi zitawaka moto!
Wote wawili wamejijengea heshma kubwa sana kwa watanzania. Yoyote atakayepata, atakibeba chama.
Wagombea wa CCM 2030 -2035Majaliwa Sawa Ila Emanuel nina mashaka nae sana
Atakufa kabla ya 2030Mgombea wa CCM wa 2030 atateuliwa na Msoga na atakuwa Rizimoko
Hana lolote.Haswaaa majiliwa kasimu nadhani ndio mtu mwenye uwezo wakuwapooza CDM ingawaje CCM ni ile ile
Naodha kijana JkWagombea wa CCM 2030 -2035
Dr Emmanuel Nchimbi Rais
Shamsi Vuai Nahodha Makamu wa rais.
Save hii post.
Kwa majaliwa ni ngumu kugombea Urais maana katiba inakataza kuwa kama uliwahi kuwa waziri hauruhisiwi tena kugombea Urais labda ahame chama kama alivyofanya lowasa.Hamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.
Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?
Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
Vyote tuh mkuuMbona unajihami mkuu. Hujasoma nini? Comments au mada?
Sio by de jure?Nchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla hata ya 2030. Huyo mama karma haimuachi, ameshatepeta, kimwili na kiakili. Kwa mauaji ya maelfu ya watu, ufisadi na wizi; huyu mama hatoboi 2030.
Chai.Hamjambo!
Polls zinazoendelea humu JF, Mpaka sasa WanaCCM wenye ushawishi humu JF ambao wanaweza kuipeperusha tiketi ya urais kupitia CCM ni Emanuel Nchimbi ambaye kwa sasa ni Makamu wa Rais, na Kasimu Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu wa awamu iliyopita.
Ingawaje kura nyingi zimewakataa lakini lengo la Polls lilikuwa kuona ndani ya CCM nani anafaa au anaafadhali anayeweza kubeba bendera ya CCM.
Hii inakuambia nini?
Je wewe unaonaje? Je unaona wanastahili au kuna kiongozi mwingine wa CCM anaweza kuwawakilisha wenzake?
Chadema msilete fujo. Muda wenu bado
dua la mpumbavuNchimbi atakuwa raisi "by de facto" kabla hata ya 2030. Huyo mama karma haimuachi, ameshatepeta, kimwili na kiakili. Kwa mauaji ya maelfu ya watu, ufisadi na wizi; huyu mama hatoboi 2030.
dua la mpumbavu
Chai.
Wote hatuwataki.