Halima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.
Mnajidanganya. Hamjui kinachoendelea, Gwajima anaibeba Kawe kabla misa ya kwanza kuisha! Yaani ile toa ndugu toa ndugu huku mambo yameisha...
Nope tunaangalia facts za mtu watamlia pesa mwisho kidedea ni mdeeKashafadhili chama uyo sisiemu wanalipa fadhila, mdee ataanguka kwa sababu za kiuchumi jamaa anahonga uyo.
Kabisa mtaona maajabu Halima safari hii ataanguka kawe hajatufanyia kitu
Mdee ana kazi tena kazi nzito sana,huko alipo
anatafakari mpaka kichwa kinapata moto yani
kuna mtu anaweza akawa hajui kitu ila mdomo
anaweza kuutumia ipasavyo,Gwajima n sawa na Msukuma part 2.
Upinzani mbona kazi wanayo awamuu ijayo,huko bungeni wajipange.
kashfa za Gwajiboy kisiasa zinambeba katika uafrika wetu!
Gwajiboy ni mwanaume,akiwagonga wanawake hata kama ni mtumishi wa Mungu kisiasa hasa kwa hapa bongo hazimpunguzii chochote!
Ila kumbuka Mdee ana kashfa ya usagaji,hyo kibongobongo siyo sifa nzuri,kisiasa hata kimaadil!
Gwajiboy mfume dume unambeba!
Mi naona gwajima atashinda asubuhi saa nne tu tayari kura zinatosha. Kawe hawana hamu na mdee. Watu hawana haja na uanaharakati wanataka uwakilishi bungeni. Mbunge gani kila siku yuko lockup eti ni harakati kuikomboa tanzania. Ujinga mtupu. Gwajima hakika ni size kumng'oa huyu ajuza halima.
hata lisu hana ushawishi kumzidi gwajima huo ndo ukweli wananzengo
Unapoleta udini na ukabila hautaisaidia Chadema hata kidogo siyo lazima Mdee awe mbunge miaka yote.
Mkuu sema mimi mkazi wa Kawe. Mimi naishi Bunju na kura yangu ni kwa Gwajima. Unapoongelea haya masuala ni vizuri ku-site mfano kwako mwenyewe as an individual. Ballot box ndio itaamua hiyo October kama Gwajima au HalimaSiyo kujipiga Picha bwana sisi wakazi wa kawe hatumuhitaji mtu mwenye akili kufanya hayo mambo na kujipiga picha
Mimi sina muda wa kupoteza na mtu asiyejuwa lolote kwenye siasa wala asiyejuwa mikakati ni nini.
Kama kuna sehemu ccm wamepatia basi ni jimbo la kawe, mimi napenda Halima Mdee ashinde lakini kwa strategy waliyokwenda nayo ccm, Gwajima ana advantage kubwa ya kushinda siwezi kuandika yote hapa
Mimi naijuwa siasa vizuri sana ccm wanalitaka sana jimbo la Kawe na hakika Gwajima anakwenda kuibeba ccm kawe.
Mkuu sema mimi mkazi wa Kawe. Mimi naishi Bunju na kura yangu ni kwa Gwajima. Unapoongelea haya masuala ni vizuri ku-site mfano kwako mwenyewe as an individual. Ballot box ndio itaamua hiyo October kama Gwajima au Halima
wewe mpemba kojoa ulale..! au rudi kwenu pemba..mbona umekazania udini udini tu..!!kila page upo daahAlipokuwa anasema akiwa kiongozi atazigeuza madrasa kuwa Sunday school alikuwa na maana gani?.
Hakuna mdini nchi kama Gwajima, Halima nimkristo, Gwajima nimkristo kwa nini niseme heri waislam tumchague mkristo Halima na sio Gwajima kama mimi nimdini. Video zipo Gwajima akikashifu waislam kwahio mimi kama muislamu siko tayari kumpigia kura mtu anaekashifu dini yangu.wewe mpemba kojoa ulale..! au rudi kwenu pemba..mbona umekazania udini udini tu..!!kila page upo daah
😂😂 vipi au anaweza win kwa special 1/1 au HandcapMy prediction Gwajima win either half
Watu wa Kawe utawahonga nini ili wakuchague?Kashafadhili chama uyo sisiemu wanalipa fadhila, mdee ataanguka kwa sababu za kiuchumi jamaa anahonga uyo.
Subiri siku iwadie.Gwajima ushindi asubuhi tu,halima atakalishwa vibaya mno
Kwani alisha kukula wewe?Bulaya atamponza Mdee kwa sababu ya malove ya jinsia 1