Halima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.
Sisi watu wa kawe hatuwezi kushawishika na huyo labda afanye kampeni huko kanisani kwake lakini huku mittani nipo kisanga huku kila mtu anashangaa kwanini wamempitisha huyo wakamuacha yule kijana aliyeongoza kura alikuwa anakubalika sana