Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Halima keshaondoka hapo ingawaje nampenda sana yule dada. Haogopi na anajiamini ila kwa huyu mtu aliyeweka, kazi anayo. Pesa , kuongea na ushawishi.

Sisi watu wa kawe hatuwezi kushawishika na huyo labda afanye kampeni huko kanisani kwake lakini huku mittani nipo kisanga huku kila mtu anashangaa kwanini wamempitisha huyo wakamuacha yule kijana aliyeongoza kura alikuwa anakubalika sana
 
Mnajidanganya. Hamjui kinachoendelea, Gwajima anaibeba Kawe kabla misa ya kwanza kuisha! Yaani ile toa ndugu toa ndugu huku mambo yameisha...

Sisi ndiyo wakazi wa kawe inaonekana hata CCM kumbe hawaielewi kawe siyo jimbo la kuleta mtu mwenye makandokando kama huyo Gwajima kawe wakazi ni watu wanaojiheshimu sana
 
Kabisa mtaona maajabu Halima safari hii ataanguka kawe hajatufanyia kitu

Huenda huwa hufutilii bungeni ndiyo maana barabara alizozungumzia bungeni ndo hizo zinajengwa na nyingine hapo africana ilikuwa inaingiza matope barabarani akaipigia kelele sana imejenjgwa pale njia panda ya goba alipasemea sana kuja maji alisemea sana traffic light zimefungwa alisemea barabara ya goba kwenda mliman city inajengwa mambo mengi yamefanyika chini ya uwakulishi wake mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, migogoro ya ardhi pia ameisemea sana. Inawezekana sababu bunge halioneshwi live ndiyo maana. Gwajima hana Sifa za Mdee kwanza atapita kwa kigezo cha kazi alizozifanya.
 
Kwa taarifa zilizopo maeneo ya Kawe amestushwa na uamuzi wa CCM bahati mbaya hata aliyeongoza ameaapa kumuunga Mkono Askofu. Kwa Hali hiyo mdee baibai
Mdee ana kazi tena kazi nzito sana,huko alipo

anatafakari mpaka kichwa kinapata moto yani

kuna mtu anaweza akawa hajui kitu ila mdomo

anaweza kuutumia ipasavyo,Gwajima n sawa na Msukuma part 2.

Upinzani mbona kazi wanayo awamuu ijayo,huko bungeni wajipange.
 
kashfa za Gwajiboy kisiasa zinambeba katika uafrika wetu!
Gwajiboy ni mwanaume,akiwagonga wanawake hata kama ni mtumishi wa Mungu kisiasa hasa kwa hapa bongo hazimpunguzii chochote!
Ila kumbuka Mdee ana kashfa ya usagaji,hyo kibongobongo siyo sifa nzuri,kisiasa hata kimaadil!
Gwajiboy mfume dume unambeba!

Siyo kujipiga Picha bwana sisi wakazi wa kawe hatumuhitaji mtu mwenye akili kufanya hayo mambo na kujipiga picha
 
Mi naona gwajima atashinda asubuhi saa nne tu tayari kura zinatosha. Kawe hawana hamu na mdee. Watu hawana haja na uanaharakati wanataka uwakilishi bungeni. Mbunge gani kila siku yuko lockup eti ni harakati kuikomboa tanzania. Ujinga mtupu. Gwajima hakika ni size kumng'oa huyu ajuza halima.

Cc ndio wana kawe bata ww cc ndio tunajua Halima kafanya nn kawe ,kawe ni ya halima tuu
 
hata lisu hana ushawishi kumzidi gwajima huo ndo ukweli wananzengo

Ushawishi unafaa unapokuwa na hoja hata Lissu amewezeshwa na CCM kuwa na ushawishi kulingana mambo yaliyofanywa na awamu ya tano sasa Gwajima atakuwa na ushawishi gani kwa wana kawe ambao wanamfahamu nje ndani
 
Siyo kujipiga Picha bwana sisi wakazi wa kawe hatumuhitaji mtu mwenye akili kufanya hayo mambo na kujipiga picha
Mkuu sema mimi mkazi wa Kawe. Mimi naishi Bunju na kura yangu ni kwa Gwajima. Unapoongelea haya masuala ni vizuri ku-site mfano kwako mwenyewe as an individual. Ballot box ndio itaamua hiyo October kama Gwajima au Halima
 
Mimi sina muda wa kupoteza na mtu asiyejuwa lolote kwenye siasa wala asiyejuwa mikakati ni nini.

Kama kuna sehemu ccm wamepatia basi ni jimbo la kawe, mimi napenda Halima Mdee ashinde lakini kwa strategy waliyokwenda nayo ccm, Gwajima ana advantage kubwa ya kushinda siwezi kuandika yote hapa

Mimi naijuwa siasa vizuri sana ccm wanalitaka sana jimbo la Kawe na hakika Gwajima anakwenda kuibeba ccm kawe.

Wasomi hawaitaki hiyo CCM kwa tafiti na kawe kuna wasomi wengi sasa hata kama CCM wananalitaka sana lakini wasomi wanapenda upinzani
 
Mkuu sema mimi mkazi wa Kawe. Mimi naishi Bunju na kura yangu ni kwa Gwajima. Unapoongelea haya masuala ni vizuri ku-site mfano kwako mwenyewe as an individual. Ballot box ndio itaamua hiyo October kama Gwajima au Halima

Ndiyo lakini nami naishi kisanga sihitaji kuwakilishwa na huyo asiye hata na msimamo kanisani kwenye madhabahu yake alisema yeye hawezi kugombea ubunge ni kujishusha yeye cheo chake ni kikubwa kuliko Rais maneno hayo ameongea kanisani kwake tena madhabahuni. Mtu yeyote asiyeheshimu madhabahu yake ataaminiwaje siwezi kumchaguo huyo na makandokando yake ya kujirecord Picha za ngono. Hana Sifa ya kuongoza jimbo la watu wanaojielewa kama kawe
 
wewe mpemba kojoa ulale..! au rudi kwenu pemba..mbona umekazania udini udini tu..!!kila page upo daah
Hakuna mdini nchi kama Gwajima, Halima nimkristo, Gwajima nimkristo kwa nini niseme heri waislam tumchague mkristo Halima na sio Gwajima kama mimi nimdini. Video zipo Gwajima akikashifu waislam kwahio mimi kama muislamu siko tayari kumpigia kura mtu anaekashifu dini yangu.
 
Back
Top Bottom