Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 518
- 722
Mwaka huu hamtaiba kura hata moja. By Tundu LissuKama mtanzania wa kawaida ambaye sipendi dada apoteze muda na rasilimali pesa. Keshashindwa tayari
Gwajima mdini sana.Naungana na ww mkuu, amejipambanua kuwa ni kiongozi wa dini kwa maslahi ya dini yake. Maana yake kumchagua (hata kama wewe ni ssm) maana yake unaungana naye ktk jitihada zake za kuua uislamu waziwazi.
Mkuu usifuate mkumbo, huyu hajabebwa hata chembe, yeye ndio anaibeba ccm.Gwajima msukuma,wasukuma kabebwa
Gwajima ndo aliyeandaa sound recordings zililosambazwa kwenye groups za wasukuma Tanzania nzima akisema wasukuma waunde vikundi vya kumtetea magufuli na kumpigania mitandaoni. Clips zile zilisambazwa karibu Tanzania nzima na kupelekea kuundwa kwa slogan Wapwa tuinuane.Mkuu usifuate mkumbo, huyu hajabebwa hata chembe, yeye ndio anaubeba ccm.
Kumefanyika research ya kutosha na wakata umeme wa Eagle house baada ya kura za maoni nani anaweza kuvaana na Halima Mdee ndipo mapendekezo yameangukia kwa Gwajima, ndio mtu pekee mwenye uwezo wa kushinda Kawe.
Unaweza kuhoji mbona hakutobowa kwa wajumbe jibu ni rahisi tu wajumbe wa ccm hawana tofauti yoyote na maiti.
Ndio sababu hata Mtemvu jimbo la Temeke ameshinda kura za wajumbe lakini mitaani hakubaliki kwa wananchi, kama wangemteuwa Mtemvu ccm ilikuwa inapigwa saa 2 asubuhi tu.
Gwajima ndo aliyeandaa sound recordings zililosambazwa kwenye groups za wasukuma Tanzania nzima akisema wasukuma waunde vikundi vya kumtetea magufuli na kumpigania mitandaoni. Clips zile zilisambazwa karibu Tanzania nzima na kupelekea kuundwa kwa slogan Wapwa tuinuane.Naungana na ww mkuu, amejipambanua kuwa ni kiongozi wa dini kwa maslahi ya dini yake. Maana yake kumchagua (hata kama wewe ni ssm) maana yake unaungana naye ktk jitihada zake za kuua uislamu waziwazi.
Gwajima ndo aliyeandaa sound recordings zililosambazwa kwenye groups za wasukuma Tanzania nzima akisema wasukuma waunde vikundi vya kumtetea magufuli na kumpigania mitandaoni. Clips zile zilisambazwa karibu Tanzania nzima na kupelekea kuundwa kwa slogan Wapwa tuinuane.Mi naona gwajima atashinda asubuhi saa nne tu tayari kura zinatosha. Kawe hawana hamu na mdee. Watu hawana haja na uanaharakati wanataka uwakilishi bungeni. Mbunge gani kila siku yuko lockup eti ni harakati kuikomboa tanzania. Ujinga mtupu. Gwajima hakika ni size kumng'oa huyu ajuza halima.
Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.
Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake zilizoko mitandaoni na uzuri hapa Dar wenye smartphone ni wengi, hivyo itakuwa rahisi watu ku-share clips zake.
Sababu nyingine itayochangia ashindwe ni kutokuwa chaguo la wana-CCM bali amekuwa chaguo la viongozi wa CCM kwani hakushinda katika kura za maoni, hivyo ni wazi wako baadhi ya wana-CCM ambao hawatampigia kura..
Kingine,waumini wa Gwajima ni sehemu ndogo sana ya wakazi na wapiga kura wa Jimbo la Kawe, hivyo advantage ya yeye kuwa kiongozi wa dini ni ndogo sana kumbeba bila kusahau ukweli kuwa watanzania hawana sana utamaduni wa kuchagua mtu kwasababu tu ni kiongozi wa kidini.
Kuanzia leo nakuendelee tutarajie kuona clip za Gwajima zikiibuka upya na kwa kasi mitandaoni.
Halima huko aliko bila shaka atakuwa anachekelea kupata mpinzani ambae teyari ameshajiharibia kwa kauli zake mwenyewe.
Muda utaongea.
Kawe kuna watu walioenda shule, they are ok upstairs. Hawawezi kumpeleka mtu bungeni atakayepiga makofi na kushabikia hoja za hovyo za wanaCCM.Gwaji aanze kushona suti tu mapema aachane na hivyo vizibao bungeni.
Kama kampeni yenyewe mnategemea clips zake akitia,kibongobongo hiyo siyo habari labda ingekuwa kainamishwa.
Tuombe uzima tu.Umeandika fikra zako, zinapokelewa kama fikra huru. Ila neno lako la mwisho, " Muda utaongea" limenajisi kile chote ulichowasilisha. Sababu, hakika ni Muda pekee ndio utaongea, na sio hisia za mtu.
Hata mm aisee,nilipanga nisiende kupiga kura ila nitaenda kwa makusudi nimpe kura yangu Halima mdee.Gwajima hatopata Kura ya Muislam hata mmoja na mimi nikiwa miongoni mwao.
Lissu ana ushawishi kuliko mtu yoyote hapa Tanzania, ndio maana alimiminiwa risasi za kivita.hata lisu hana ushawishi kumzidi gwajima huo ndo ukweli wananzengo
Mimi sina muda wa kupoteza na mtu asiyejuwa lolote kwenye siasa wala asiyejuwa mikakati ni nini.Gwajima ndo aliyeandaa sound recordings zililosambazwa kwenye groups za wasukuma Tanzania nzima akisema wasukuma waunde vikundi vya kumtetea magufuli na kumpigania mitandaoni. Clips zile zilisambazwa karibu Tanzania nzima na kupelekea kuundwa kwa slogan Wapwa tuinuane.
Naona magufuli ameamua kumzawadia rasmi Gwajima kwa ile kazi yake!!
Ila sioni namna Gwajima ataweza shinda kwenye jimbo lililojaa wasomi na watu wenye uwezo wa kifedha kama Kawe. Kawe ni jimbo gumu sana kwa Gwajima ukipelekea ana scandals nzito za
1. Kuhamasisha ukabila nchini( Wapwa tuinuane)
2.Kujirekodi akifanya mapenzi na wanawake huku akijiita mtumishi wa Mungu
Unataka kuniambia lile nyomi analojaza kila jumapili hakuna mwenye smartphone pale? Inamaana Hizo clip hawazioni? Hoja mufilisi kabisa hiyo.
Gwajiboy is untouchable.
Mojawapo ni kashfa aliyotoa kwa Kardinali Pengo bila kusahau alivyoahidi kuzigeuza madrasa kuwa sunday schools...Baada ya CCM kumpitisha Gwajima , nina uhakika Mdee atashinda uchaguzi katika Jimbo hilo tena kwa kura nyingi zaidi safari hii kuliko ilivyokuwa mwaka 2015 unless haki isitendeke.
Ukiacha watu kuichoka CCM, Gwajima bado ataponzwa na kauli zake zilizoko mitandaoni na uzuri hapa Dar wenye smartphone ni wengi, hivyo itakuwa rahisi watu ku-share clips zake.
Sababu nyingine itayochangia ashindwe ni kutokuwa chaguo la wana-CCM bali amekuwa chaguo la viongozi wa CCM kwani hakushinda katika kura za maoni, hivyo ni wazi wako baadhi ya wana-CCM ambao hawatampigia kura..
Kingine:waumini wa Gwajima ni sehemu ndogo sana ya wakazi na wapiga kura wa Jimbo la Kawe, hivyo advantage ya yeye kuwa kiongozi wa dini ni ndogo sana kumbeba bila kusahau ukweli kuwa watanzania hawana sana utamaduni wa kuchagua mtu kwasababu tu ni kiongozi wa kidini.
Kuanzia leo nakuendelee tutarajie kuona clip za Gwajima zikiibuka upya na kwa kasi mitandaoni.
Halima huko aliko bila shaka atakuwa anachekelea kupata mpinzani ambae teyari ameshajiharibia kwa kauli zake mwenyewe.
Muda utaongea.
Hawajafanya fair kabisa naona CCM wameamua kuweka gia kubwa bila kupepesa macho. Ukweli mchungu Mdee ajiandae kukabizi jimbo.
Mimi sina muda wa kupoteza na mtu asiyejuwa lolote kwenye siasa wala asiyejuwa mikakati ni nini.
Kama kuna sehemu ccm wamepatia basi ni jimbo la kawe, mimi napenda Halima Mdee ashinde lakini kwa strategy waliyokwenda nayo ccm, Gwajima ana advantage kubwa ya kushinda siwezi kuandika yote hapa
Mimi naijuwa siasa vizuri sana ccm wanalitaka sana jimbo la Kawe na hakika Gwajima anakwenda kuibeba ccm kawe.
Mbona alishindwa kulimudu jukwaa dogo la mkutano wa wajumbe wa CCM, hujui kuwa ile ni sample tu.Hapa unajidanganya mwenyewe, Gwajima ndio mgombea hatari kuliko mgombea yeyote wa ccm.
Kama mnataka kushinda kawe pangeni mikakati ya ziada kupambana naye, ccm si wajinga kumkata aliyeshinda kura za maoni na kumchukuwa mshindi wa tatu.
Kwanza hatari ya kwanza Gwajima analimudu jukwaa kuliko mtu yeyote yule Tanzania hii, take my word Chadema iwekeze nguvu ya ziada kulichukuwa jimbo la kawe this time, huu ni ukweli mtupu.
Cha mwisho ufahamu Gwajima ni taasisi si mtu wa kawaida yule.