Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Wajumbe wanashawishika kwa pesa mkuu, Gwaji mtunwa Mungu hakutoa mlungula wajumbe wakamchinja.

Ukweli Halima Mdee anaondoka tena mapema na asubuhi.
 
Huyu anajitekenya nankucheka mwenyewe hamjui gwajiboy vizuri.
Mtu aliyeshindwa kuwashawishi wajumbe wa CCM tu ndo awashawishi wasomi na matajiri wa jimbo la Kawe? Huku ana skendo zenye ushahidi za ukabila na uzinzi? Labda ashinde Kawe ya mwanza, Sio Kawe hii ya Dar es Salaam
 
Sidhani kama baba askofu gwajima atapita asee,,sidhani..
 
Huyu anajitekenya nankucheka mwenyewe hamjui gwajiboy vizuri.
Unamsema Gwaji boy yupi???

Huyu aliyeanzisha siasa za kikabila za kuhamasisha wasukuma waunde vikundi vya kikabila kumkampenia Magufuli???!!

Huyu anayefanya uzinzi na washarika wake huku akijirekodi???

Labda ashinde Kawe ya Mwanza, sio Kawe hii ya Wasomi na watu wenye fedha wanaojielewa ya Dar es Salaam!!!
 
Yaani mtu umpigie kura mtu anyefanya ngono za x , hii itakuwa record mpya
 
Lakini pia Gwajima amekuwa "sponsor" wa Mdee kipindi chote. Kifupi yule kapelekwa kubomoa alichoshiriki kujenga.
 
Lakini pia Gwajima amekuwa "sponsor" wa Mdee kipindi chote. Kifupi yule kapelekwa kubomoa alichoshiriki kujenga.
Gwajima hawezi kupita kawe, na hakuna Muislam mwenye akili timamu wakumpigia kura Gwajima, kwahicho Magufuli kakosea kutuletea mwana CCM. Najua Gwajima ananguvu kubwa na Gwajima nitaasis lakini kwa wingi wetu waislam nakuapia Gwajima hatoboi, napia hili jimbo limejaa wapemba&Waha ambao wengi wao hawaipendi CCM.
 
Kuna nafasi ndogo ya Halima Mdee kutetea jimbo lake.

Waumini wengi wa Gwajima walijiandikisha kupiga kura Kawe wakati akiwa Tanganyika Packers.

Gwajima muongeaji mzuri kuliko Halima.

Gwajima ana pesa nyingi ya kufanya kampeni ya nguvu Kawe kuliko Halima.

Halima asikate tamaa ajitahidi kupambana huwezi jua mioyo ya wapiga kura.
 
Mimi sio muislamu ila nakuunga mkono!
 
Ni kweli pasi shaka kwamba Gwaji Boy ni mdini Ila hawezi kugeuza Madrasa kuwa Sunday School kwakua yeye ni mbunge tu na hana mamlaka ya kufanya hivyo.

Naiona CCM mpya mbele yangu
 
Salary Slip,

Mkuu, jimbo la Kawe CCM hata tungemsimamisha nani hatuwezi kulipata. Wale watu wanakichukia chama chetu kupindukia sijui kwa nini.
 
Kinachowaponzaga nyie ni ukasuku, kupiga makelele bila mpango haya endeleeni kuimba ila Mdee hatoboi mtaja sema hatujawaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…