Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na tunaishi Kwa Amani na Upendo. Tuepuke kuyataja makabila yetu, tutambuane Kwa utanzania wetu.Narudia tena. Sina Siasa za Chuki
Waonye walio nga'ang'ania kuita kuzodoa kuidhalilisha kuibeza kabila la Wasukuma. Short of that, Usipachikie kwamba mie kuwa na Chuki au ninaye eneza Chuki.
Isitoshe nimekuwa mstari wa mbele kutaka wanahudhuri kuacha kutumia Lugha za Uchafuzi, Ubaguzi na Utenganishi/Utengano, Lugha za Kumbeza na Kumdhalilisha Mwafrika. Sasa uende huko na nikuone ukiwa unawaonya wale unaowapigia Likes kwa kutumia msamiati wanaotumia wa kuwadhalilisha Wasukuma na kabila lao.!
CHADEMA waache misamiati hiyo, au marungu tu Jembe kwa Jembe Kuelekea mbele. Enough is Enough.
Kitaeleweka.
Aluta Continua
Tusameheane, na MPUUZI APUUZWE Kwa upuuzi wake.
Tanzania ni Moja.
Mungu ibariki TANZANIA.
Amen.