Mpaka sasa Lissu hafai kuwa CHADEMA maana chama hicho ni CCM B, hakina tena mpango wa kupigania wananchi

Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na tunaishi Kwa Amani na Upendo. Tuepuke kuyataja makabila yetu, tutambuane Kwa utanzania wetu.

Tusameheane, na MPUUZI APUUZWE Kwa upuuzi wake.

Tanzania ni Moja.
Mungu ibariki TANZANIA.

Amen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…