Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.
Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.
Linda heshima yako usikubali kudanganyika .
Umri wako
Heshima yako
Financial status
Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema.