Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

Mpaka sasa Mbowe ndo GOAT , Greatest of all time katika siasa za upinzani

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.

Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.

Linda heshima yako usikubali kudanganyika .

Umri wako
Heshima yako
Financial status

Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema.

Chadema imekupatia vitu vingi Sana kuliko ulivyoipatia .

Umekuwa mbunge miaka 15
Umegombea urais mwaka 2005.

Umepata vipaumbele vikubwa kupitia chadema .

Kuhusu kufungwa n.k , pole Sana everything has a price to pay .
 
Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.

Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.

Linda heshima yako usikubali kudanganyika .

Umri wako
Heshima yako
Financial status

Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema.
Familia yake itakula kwako, huyu mbowe anapenda sana pesa lazima agombee tu
 
Mbowe amezaliwa na kukulia ktk pesa ni Billionaire mkubwa .

Ndiyo maana hatosheki. Hata pia umri wake umemtupa mkono. Hawezi kuwa na network ya biashara kama aliyokuwa nayo miaka 20 iliyopita. Tegemeo lake pekee la kumfanya awe liquid ni kwenye siasa tu. Tena katika nafasi ya uenyekiti.
 
Back
Top Bottom