Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Mwe mwe mwe! ... Halima mchokozi weye!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua mwenyeweeeSio burigi
Upuuzi mkubwa zaidi ni kusema hakuna Mungu, na usijue hao Wazungu waasisi wa atheism wana maelezo mbadala yapi ya ajabu kuliko. Wengi wenu mmedandia tu kusema hakuna Mungu ila hamjui lolote.Hakuna sijui mungu acha upuuzi
Dini ni upuuzi wa wa wazungu na waarabu
Afu leo mnajiuliza kwa nini waafrika tumeshikwa na wazungu
Wamekuletea ujinga wao wa kiumbe kipo angani kina moto kitakuchoma
Dini ni mbaya kuliko ccm
Mbona hakutaja jina LA Askofu Gwajima?Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita ASKOFU Gwajima mrembo.
Mpaka sasa nafikilia Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.
Mimi nadhani CCM hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la Kawe, nasikio la kufa halisikii dawa, maana Mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe.
Clip ya mgombea wa CHADEMA H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita Gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.
Mwe mwe mwe...... halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana JF?
Nawaomba wana JF tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu Gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.
Halimaaa nasikia bishop saivi anakusanya data zako zote tangia ukiwa mtoto.
Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
Askofu gwajima yule mzinifu anaekula kondoo?Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita ASKOFU Gwajima mrembo.
Mpaka sasa nafikilia Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.
Mimi nadhani CCM hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la Kawe, nasikio la kufa halisikii dawa, maana Mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe.
Clip ya mgombea wa CHADEMA H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita Gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.
Mwe mwe mwe...... halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana JF?
Nawaomba wana JF tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu Gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.
Halimaaa nasikia bishop saivi anakusanya data zako zote tangia ukiwa mtoto.
Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
Mtoa mada hata kuandika vizuri hujui
kweli wewe ndo wale wajinga wajinga ambao ndio mtaji wa ccm.
Labda abebe waumini wake kwa style ya Ccm aka wahutubieWana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita ASKOFU Gwajima mrembo.
Mpaka sasa nafikilia Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.
Mimi nadhani CCM hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la Kawe, nasikio la kufa halisikii dawa, maana Mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe.
Clip ya mgombea wa CHADEMA H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita Gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.
Mwe mwe mwe...... halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana JF?
Nawaomba wana JF tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu Gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.
Halimaaa nasikia bishop saivi anakusanya data zako zote tangia ukiwa mtoto.
Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
Cha muhimu ni kuwa umeelewa mtoa mada anacho maanisha mengineyo nikujifanya mjuwaji.Napata tabu na uandishi wa sasa hivi ni Halima au Harima
Halima kalianzisha mwenyewe!Huyo mrembo ana subiri support ya magufuli
Wana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita ASKOFU Gwajima mrembo.
Mpaka sasa nafikilia Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.
Mimi nadhani CCM hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la Kawe, nasikio la kufa halisikii dawa, maana Mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe.
Clip ya mgombea wa CHADEMA H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita Gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.
Mwe mwe mwe...... halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana JF?
Nawaomba wana JF tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu Gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.
Halimaaa nasikia bishop saivi anakusanya data zako zote tangia ukiwa mtoto.
Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
Kama ataamua kumjibu atapoteza muelekeoWana JF kama kuna siku naingojea kwa hamu kubwa na ambayo namuomba mwenyezi Mungu anijalie nikutwe na afya njema na niwe sehemu ya mkutano huo wa ufunguzi wa kampeni za askofu Gwajima au niwe sehemu ambayo nitaweza kuona mubashara.
Hii shauku imesababishwa na Halima James Mdee kumuita ASKOFU Gwajima mrembo.
Mpaka sasa nafikilia Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku.
Mimi nadhani CCM hakika walifanya utafiti mkubwa kumchagua gwajima jimbo la Kawe, nasikio la kufa halisikii dawa, maana Mdee naona kachokoza nyuki yeye mwenyewe.
Clip ya mgombea wa CHADEMA H. Mdee inasambaa u-tube kwa kasi akimuita Gwajima mrembo na kumfundisha swaga za kitaa.
Mwe mwe mwe...... halima huyu huyu ninaemjua au ametoa wapi huo ujasiri wana JF?
Nawaomba wana JF tupashane siku na tarehe ya ufunguzi wa kampeni wa askofu Gwajima najua itakuwa burudani kama ya SIMBA DAY au ya WANANCHI Dar young Africa, nchi itasimama.
Halimaaa nasikia bishop saivi anakusanya data zako zote tangia ukiwa mtoto.
Usilalamike maana umeanza mwenyewe yangu macho.
😂😂😂 Gwajiboy ni habari nyingine, ngoja tusubiri hii Vita, baada ya ile vita yake na makonda.!Mbowe naona kaamua kuwaachia jumba bovu.
Cjsona kampeni mbovu km hizi za chadema mwaka huu.
Taarifa nilizonazo nikwamba gwajima anaandaa fail la uchafu wte wa halima mdee!
Uchafu wakuanzia utoto mpk hapo alipo.
Hii nivita yakugombania madaraka ndani ya chadema ndio inawaumiza kwa sasa.
Uzinduzi wa kampeni kitaifa kunawatu muhim ndani yachadema hawakuwepo nahawapo mpaka sasa.
1.sugu
2.heche
3.msigwa
4.pr. j
5.pr. A.safari
6.Baregu
Wengine mtaongeza, chama kimetekwa na wachaga na myaturu kichaa.

Kashifa Kama hizi baado hazijawa na nguvu ya kummaliza mtu kisiasa bongo hii.Au hujui kuwa ngono ndo sehemu kubwa ya maisha kwa wabongo🤔?Tuna porn clips za gwajiboy tutazirelease soon
Na nyingine ambazo we huna
Afrika nzima hakuna elimu bora , maana hatuoni watu kuvumbua kitu zaidi ya kucheza ngoma na kukata viduku.Mtaji wa CCM Ni umaskini na watu kukosa elimu Bora....