Uchaguzi 2020 Mpaka sasa nafikiria Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe baada ya kuitwa Mrembo

Mwe mwe mwe! ... Halima mchokozi weye!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌️✌️✌️πŸ’₯
 
Hakuna sijui mungu acha upuuzi
Dini ni upuuzi wa wa wazungu na waarabu
Afu leo mnajiuliza kwa nini waafrika tumeshikwa na wazungu
Wamekuletea ujinga wao wa kiumbe kipo angani kina moto kitakuchoma
Dini ni mbaya kuliko ccm
Upuuzi mkubwa zaidi ni kusema hakuna Mungu, na usijue hao Wazungu waasisi wa atheism wana maelezo mbadala yapi ya ajabu kuliko. Wengi wenu mmedandia tu kusema hakuna Mungu ila hamjui lolote.
 
Kuna mtu ana mpango wa kuchagua kiongozi mwenye nia ya kubadili misikiti kuwa Sunday schools?
 
Mbona hakutaja jina LA Askofu Gwajima?
 
Askofu gwajima yule mzinifu anaekula kondoo?
 
Labda abebe waumini wake kwa style ya Ccm aka wahutubie
 
Huyo mrembo ana subiri support ya magufuli
Halima kalianzisha mwenyewe!
Hivi kwa mtu anayemfahamu Gwajima anaweza kumuita majina ya dharau/kejeli hivyo?
Ajue wachungaji wana kipaji cha kuongea (asidharau nguvu ya maji)
 

Mimi katika hili nina mtizamo kuwa Mch. Gwajima hatakuwa na muda wa kurudisha personal attacks kwa mshindani wake ambaye tayari ameshaonyesha hofu kubwa na ya wazi kabisa. Ninaamini atajikita zaidi kwenye ilani ya uchaguzi ya chama chake. Kuna watu watatu tu ambao ni vigumu mno kwa wao kushindwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu na anayeongoza kwenye kundi hilo ni Mch. Gwajima. Inawezekana kwa mgombea mwingine yeyote yule kushindwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu, ila si Gwajima. Kwa Gwajima uwezeakano huo haupo!
 
Huyu mzee angejikita kwenye sadaka, mambo ya siasa ni magumu - mtaka mawili kwa pupa...
 
Kama ataamua kumjibu atapoteza muelekeo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gwajiboy ni habari nyingine, ngoja tusubiri hii Vita, baada ya ile vita yake na makonda.!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gwajiboy ni habari nyingine, ngoja tusubiri hii Vita, baada ya ile vita yake na makonda.!
 
Tuna porn clips za gwajiboy tutazirelease soon
Na nyingine ambazo we huna
Kashifa Kama hizi baado hazijawa na nguvu ya kummaliza mtu kisiasa bongo hii.Au hujui kuwa ngono ndo sehemu kubwa ya maisha kwa wabongoπŸ€”?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…