Uchaguzi 2020 Mpaka sasa nafikiria Gwajima atakavyomshukia Halima kama mwewe baada ya kuitwa Mrembo

Ukiijua hiyo tarehe mkuu unitag...
 
Hakuna sijui mungu acha upuuzi
Dini ni upuuzi wa wa wazungu na waarabu
Afu leo mnajiuliza kwa nini waafrika tumeshikwa na wazungu
Wamekuletea ujinga wao wa kiumbe kipo angani kina moto kitakuchoma
Dini ni mbaya kuliko ccm
Uwe unaamini au huamini uwepo wa Mungu hiyo siyo kazi yangu, ni utashi binafsi. Ila kuanza kuandika jina la Mungu kwa herufi kubwa ni hitaji la lazima la kiuandishi kama ilivyo kuanza herufi kubwa unapoandika jina la mtu au la sehemu.
 
Amshukie nani? kashaambiwa Kawe si pahala pa kijifunzia kupaka poda!! ha ha ha
 
Halima kalianzisha mwenyewe!
Hivi kwa mtu anayemfahamu Gwajima anaweza kumuita majina ya dharau/kejeli hivyo?
Ajue wachungaji wana kipaji cha kuongea (asidharau nguvu ya maji)
Wewe kama unamuogopa gwajima baki na uoga wako, usitake kila mmoja awe na uoga ulionao.
 
Tapeli gwajima amefaulu sana ku manipulate namna yako ya kumfikiria.
 
Kwani Halima Mdee alimtaja mojakwamoja Gwajima....mbona unamlisha maneno.Nijuavyo wanaogombea ubunge Jimbo la Kawe wako wengi yawezekana alikua anamaanisha wa vyama vingine vinavyogombea pia na siyo huyo unayemtaja kwa jina
 
Gwajima miuno
 
Nilijua unasubiri kwa hamu sera za Gwajima, kumbe unasubiri mipasho.

Watz bado tuna safari ndefu.
 
Kama ni mtumishi wa Mungu wa kweli anapaswa kutumia Hekima tu ya kutomjibu! Mwenye Hekima hawezi kujibu maneno ya kipumbavu ya Mdee.
Vinginevyo atakuwa kwenye mtego mkali wa kuporomosha matusi kitu ambacho kitazidi kumshushia heshima kwa jamii.
 
Mrembooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusubirie majibu Sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
ndiyo tunataka aropoke ili tuanze kuwaambia wana Kawe kuwa "safari hii CCM imewaletea mtu aliyeigiza sinema za matusi"
 
Kwani anatakiwa amshukie au akatangaze sera. Mm siwezi mpigia kura mtu ambaye hanadi sera anabakia kuleta vijembe.
 
Askofu hatojibu mapigo. Biblia takatifu inasema ukitandikwa kofi shavu la kushoto, unapaswa kugeuza na lipi utandikwe tena. Mtumishi huyu bila shaka analifahamu hili
 
Hakuna sijui mungu acha upuuzi
Dini ni upuuzi wa wa wazungu na waarabu
Afu leo mnajiuliza kwa nini waafrika tumeshikwa na wazungu
Wamekuletea ujinga wao wa kiumbe kipo angani kina moto kitakuchoma
Dini ni mbaya kuliko ccm
Ugomvi wako na Mungu usituingize na sisi mkuu 😂
Tuache tu enjoy uwepo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…