Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

Mpaka sasa sijaona Usajili wa maana Simba SC na safari hii hakyanani nitampiga Mtu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC ) ndiyo mtanijua GENTAMYCINE ni Msela wa Kitambo.

Mimi nawatizameni mnavyojitekenya na Kutaja Majina ya Wachezaji Wabovu mnaotaka Kuwasajili Simba SC kwa Msimu huu ujao.

Mfano huyu Onana wa nini SSC yetu?
 
Unamtaka nani mkuu ?

Wakati mwingine viongozi wanahitaji kupewa "some suggestions"
 
Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC ) ndiyo mtanijua GENTAMYCINE ni Msela wa Kitambo.

Mimi nawatizameni mnavyojitekenya na Kutaja Majina ya Wachezaji Wabovu mnaotaka Kuwasajili Simba SC kwa Msimu huu ujao.

Mfano huyu Onana wa nini SSC yetu?
Hivi dirisha la usajili limefunguliwa lini Mkuu, maana mi nadhani labda TFF haijafingua dirisha.l?
 
Simba SC sasa tuna Viongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea kuliko Nyakati zingine zote.

Nina Hasira nao mno tu Mkuu wangu.
Acha kupenda kulialia na kubweka bweka hovyo! Uchaguzi mkuu ndani ya klabu yako ulifanyika miezi michache tu iliyopita! Ulishindwa nini kugombea ili uwe kiongozi bora?

Waache viongozi wako watekeleze majukumu yao. Na kama huridhiki, hamia Singida Fountain Gate.
 
.African Super League watatukoma.

.Bonge moja. La Striker. Mayele Akasome.
20230618_101113.jpg
 
Back
Top Bottom