GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba SC sasa tuna Viongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea kuliko Nyakati zingine zote.Unamtaka nani mkuu ?
Wakati mwingine viongozi wanahitaji kupewa "some suggestions"
Hivi dirisha la usajili limefunguliwa lini Mkuu, maana mi nadhani labda TFF haijafingua dirisha.l?Salim Abdallah Try Again, Murtaza Mangungu na Mohammed Dewji endeleeni tu kutuona wana Simba SC ni Wapumbavu ila GENTAMYCINE nawaonyeni kama hatutabeba Makombe ya Ngao ya Jamii, la NBC, la ASFC na kufika Nusu Fainali au Fainali ya Klabu Bingwa ( CAFCL ) au Kubeba Kombe la Shirikisho ( CAFCC ) ndiyo mtanijua GENTAMYCINE ni Msela wa Kitambo.
Mimi nawatizameni mnavyojitekenya na Kutaja Majina ya Wachezaji Wabovu mnaotaka Kuwasajili Simba SC kwa Msimu huu ujao.
Mfano huyu Onana wa nini SSC yetu?
Acha kupenda kulialia na kubweka bweka hovyo! Uchaguzi mkuu ndani ya klabu yako ulifanyika miezi michache tu iliyopita! Ulishindwa nini kugombea ili uwe kiongozi bora?Simba SC sasa tuna Viongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea kuliko Nyakati zingine zote.
Nina Hasira nao mno tu Mkuu wangu.