Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

kumbe bado mgeni kwenye mapenzi ee,
yanaumiza na tena yanaua na kuangamiza kabisa....
Ila kwa mechi ya jana ni nuksi tu za a puppet kua uwanjani,

Tayari Morocco walishatepeta kila idara, tulishawadhibiti right left and center na hawakua na la kutufanya ni nuksi tu za yule mjamaa na hakuna jengine 🐒
Muda huo moroco anaongoza au bado
 
On target 0 siwezi shangaa
 

Attachments

  • Screenshot_20240118_061540_FotMob.jpg
    Screenshot_20240118_061540_FotMob.jpg
    19.9 KB · Views: 2
Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu

Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi.

Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza

UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU

View attachment 2874865View attachment 2874893View attachment 2874895


Na ni jambo jema sana, wacha wafungwe, bora yanga wangecheza, hiyo team si ya ccm, na ikishinda Mama anakuwa kaupiga mwingi!
 
nakataa...
Technically ndio team strong zaidi afconi..

ni mtazamo wa chuki tu japo kuna mahali pa kurekebisha kidogo tu kama ambavyo na mataifa mengine yanarekebisha penye changamoto ndani ya vikosi vyao...


Unajua maana ya neno "technically"?
 
Unajua maana ya neno "technically"?
sio tu technically tupo strong but pia team fitness, spirit, confidence, morale ya wachezaji wa Taifa Stars iko juu sana ajabu ukilinganisha na team za mataifa mengine
 
Halafu umlete nani

Moroco sio wydad wale kumbuka walimtoa chozi ronaldo pale qatar
Ah sasa wakicukuzaga kocha sii wanaleta kocha mwengine.
Tuweke mzawa pale hawa wage i wanachukuwa hela zetu na hamna lolote tunalopata...tunawaneemesha wao na ndugu zao
 
Hizi Match za Congo na Zambia tunapita😀😀😀😀Ili sasa aibu ya Dunia itukute kule 16 Bora.
 
Back
Top Bottom