Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Be kind to everyone without refund, enjoy kila unapopata nafasi, usiogope kuexpress feeling zako popote na kwa yoyote kama unampenda mtu mwambie apo apo, tumia dk tano tu kuzoeana na mtu mpya popote, kujuwana na watu ni bora kuliko utajiri,

Mayweather alikuwa amezuiliwa kuingia Dubai ila uhusiano wake na royal family ya Dubai ukamfevor kuna situation pesa yako haiwezi kukusaidia ila connection na watu tofauti ikawa msaada
 
Back
Top Bottom