Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Hakuna jipya,ndo iviivi
Maisha ndo iviivi tunavyoishi...huzuni furaha vyote vyetu
Uvumilivu ndo maisha yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jipya,ndo iviivi
Maisha ndo iviivi tunavyoishi...huzuni furaha vyote vyetu
Uvumilivu ndo maisha yenyewe
Najuta kuchelewa kulewa na kuvuta vitu tofauti hewa.Walevi bhana muda wote wanawaza Bata tuuu
Kaka pembe... Kuna Dawasco piaNimejifunza kuwa TANESCO inapenda sifa!!!!!
Hamna kitu Ka hicho... Bahati ndo uwezo wako...📌📌📌MAISHA ni BAHATI
Hapo kwenye blight brain hapo... Ndo pagumu🎭🎭Nimejifunza " The future is full of darkness only the blight brain will survive".
All of us tena"usiogope darkness come for all of us"
GOT
Hata kuwa na uwezo nayo ni bahati..wangapi wanao huo uwezo?Hamna kitu Ka hicho... Bahati ndo uwezo wako...[emoji419][emoji419][emoji419]
Huvyo A=B B=C hvyo A=C ,😃😃😃Maisha ni ubatili mtupu, mwisho wa mwerevu na mjinga ni kifo.
Kama ni point wee umepata 💯 Excellent..🤝🤝🤜🤜👏👏👏👏👏👏👏👏Nlichojifunza
- The harder you work, the luckier you get. Just work on the right things.
- Si kila uongo ni mbaya.
- Chagua kitu kimoja uwe extremely good at it.
Hiyo ya maisha kama gwaride... Inapoteza watu1. Maisha hayan Formula
2. Maisha ni kama gwaride, wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza na kinyume chake, muda wowote ule
3. Hakuna short cut kwenye maisha
Hu Uzi umekaa kihisia sanaaa....... anywayNimejifunza " The future is full of darkness only the blight brain will survive".