Mpaka sasa Umejifunza nini kuhusu Maisha?

Nimejifunza kuwa duniani binadamu hatupo sawa,hakuna kitu kama hicho kama huna huna tu hakuna atakaye kusaidia,kilambuzi atakula urefu wa kamba yake,,nimejifunza nipambane mwenyewe nisimtegemee mtu yeyote,na mtu akinipa ahadi ya kunipa pesa nisimuamini nichukulie powah tu
 
😂😂😂😂😂 Umeandika ukiwa na hali gani...?
 
2 na 4
1. Uwezi pata kila unachohitaji
2. Unaweza ukajituma na Bado usitoboe
3. People can smile in front of you, and still mock you from inside.
4. 1 +1 sio kila siku ni 2
Mmmh hapana ... Prove it
 
Nimejifunza kuwa duniani binadamu hatupo sawa,hakuna kitu kama hicho kama huna huna tu hakuna atakaye kusaidia,kilambuzi atakula urefu wa kamba yake,,nimejifunza nipambane mwenyewe nisimtegemee mtu yeyote,na mtu akinipa ahadi ya kunipa pesa nisimuamini nichukulie powah tu
Yaani hapa nakuelewa vizuri sana Mwamba
 
Yaani hapa nakuelewa vizuri sana Mwamba
Kwani ukimchinja mbuzi akilia meee anaomba msaada kuna anaye msaidia??basi binadamu hakuna atakaye kusaidia zaidi ya vimsaada vya kipambe ambavyo mtu anakusaidia mwisho wa siku anakusengenya yanini kuku saidia,bora kufa tu maana kila mtu atakufa,tutakuwa uncountable kwa yote tunayofanya hapa duniani https://jamii.app/JFUserGuide lifeee
 
Back
Top Bottom