THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
MWAMUNU acha kabisaUmenena mkuu,aya mambo ya matarajio hua yanaumiza sana hasa mambo yanapoenda tofauti..[emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MWAMUNU acha kabisaUmenena mkuu,aya mambo ya matarajio hua yanaumiza sana hasa mambo yanapoenda tofauti..[emoji849]
Hiyo no.1 ni kweli kwa asilimia [emoji817]1. Usipigie hesabu pesa usiyo nayo mkononi
2. Heshimu watu bila kujali hali na mwonekano
3. Ondoa aibu kwenye fursa as long as kuna pesa unaipata piga kazi
4. Usiwe mwepesi kutoa kila unapoombwa utachelewa kufikia malengo toa kwa kiasi
5. Hakikisha kwenye circle yako kuna watu wa maana, wale umekwama lazima wakuokoe maana maisha yana kupanda na kushuka, mwisho mshilikishe Mungu kwenye hatua zako jifunze kuombea hustle zako .
😄😄 In the name of Russia,sorry sana mkuu😀😀 Wewe ni Pro Russia mwenzangu hivyo motivation speaker wangu ni mwamba PUTIN
Nimejifunza Kuna kuzaa wapiga kura na kuzaa wapigiwa kura...be humbleWakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada .
Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇
1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi.
2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele.
3: Wathamini sana Watu wanaokusema na kukufuatilia Maisha yako
Maana si kazi rahisi Mtu kuacha Matatizo yake na Kuyabeba yako.
4: Kaka jitaidi kuwa Smart, piga pasi na kaperfume kwa mbali.
Kuna wanawake Shida yao ni Mwanaume Smart tu.😀😀
5: Brother Unampenda? Mwambie Akatae yaishe, kuliko kumtumia hizo HEY,HI,Umekula??,Karibu Chai, n.k(be straight to the point)
6: Kuna mpaka ‘’Mabadiliko ya tabia ya Nchi’’ halafu wewe bado unaamini huyo mpenzi wako hawezi badilika??? really😀😀
7: Umri wa Miaka 30 ni Miaka mingi sana Kukaa Ofisini huku ukisubiri kuambiwa ni kipi chakufanya.
8: Maisha ni bora 100% wakati hakuna mtu anajua chochote kukuhusu wewe.
9: Ugali dagaa ni chakula kitamu sana endapo usipozingatia harufu ya pilau kwa jirani yako.
Binafsi nimechelewa sana kujua ukweli kuhusu Maisha, hasa ukitokea kwenye familia inayoamini kwamba ''education is better than Money''
Yaani hata kama kuna fursa ya Kuuza mchicha mtaani basi ukiifanya dharau na kejeli utakazokutana nazo sio za nchi hii.
Je? wewe mpaka sasa umejifunza nini kuhusu maisha????
Mazingira yanaamua.Na kwanni uishi nao...?
Ulalamishi na kutegemea wanasiasa umekwisha..Wakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada .
Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇
1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi.
2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele.
3: Wathamini sana Watu wanaokusema na kukufuatilia Maisha yako
Maana si kazi rahisi Mtu kuacha Matatizo yake na Kuyabeba yako.
4: Kaka jitaidi kuwa Smart, piga pasi na kaperfume kwa mbali.
Kuna wanawake Shida yao ni Mwanaume Smart tu.😀😀
5: Brother Unampenda? Mwambie Akatae yaishe, kuliko kumtumia hizo HEY,HI,Umekula??,Karibu Chai, n.k(be straight to the point)
6: Kuna mpaka ‘’Mabadiliko ya tabia ya Nchi’’ halafu wewe bado unaamini huyo mpenzi wako hawezi badilika??? really😀😀
7: Umri wa Miaka 30 ni Miaka mingi sana Kukaa Ofisini huku ukisubiri kuambiwa ni kipi chakufanya.
8: Maisha ni bora 100% wakati hakuna mtu anajua chochote kukuhusu wewe.
9: Ugali dagaa ni chakula kitamu sana endapo usipozingatia harufu ya pilau kwa jirani yako.
10: Kadri Umri unavyoenda ndio nagundua kwa nini baba alikua hataki kufungulia redio kwa sauti kubwa, jamani KELELE na MADENI haviendani kabisa😀😀
Binafsi nimechelewa sana kujua ukweli kuhusu Maisha, hasa ukitokea kwenye familia inayoamini kwamba ''education is better than Money''
Yaani hata kama kuna fursa ya Kuuza mchicha mtaani basi ukiifanya dharau na kejeli utakazokutana nazo sio za nchi hii.
Je? wewe mpaka sasa umejifunza nini kuhusu maisha????
Unaweza kuwakwepa mbona.... SimpleMazingira yanaamua.
Kwenye hili unanipa mada fikirishi,It was written. I am living to fulfill the scriptures.
Maisha yangu yaliandikwa sehemu, naishi ili yale maandiko yatimie
Yamenifunza namba mbili na money is better than educationWakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada .
Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇
1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi.
2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele.
3: Wathamini sana Watu wanaokusema na kukufuatilia Maisha yako
Maana si kazi rahisi Mtu kuacha Matatizo yake na Kuyabeba yako.
4: Kaka jitaidi kuwa Smart, piga pasi na kaperfume kwa mbali.
Kuna wanawake Shida yao ni Mwanaume Smart tu.😀😀
5: Brother Unampenda? Mwambie Akatae yaishe, kuliko kumtumia hizo HEY,HI,Umekula??,Karibu Chai, n.k(be straight to the point)
6: Kuna mpaka ‘’Mabadiliko ya tabia ya Nchi’’ halafu wewe bado unaamini huyo mpenzi wako hawezi badilika??? really😀😀
7: Umri wa Miaka 30 ni Miaka mingi sana Kukaa Ofisini huku ukisubiri kuambiwa ni kipi chakufanya.
8: Maisha ni bora 100% wakati hakuna mtu anajua chochote kukuhusu wewe.
9: Ugali dagaa ni chakula kitamu sana endapo usipozingatia harufu ya pilau kwa jirani yako.
10: Kadri Umri unavyoenda ndio nagundua kwa nini baba alikua hataki kufungulia redio kwa sauti kubwa, jamani KELELE na MADENI haviendani kabisa😀😀
Binafsi nimechelewa sana kujua ukweli kuhusu Maisha, hasa ukitokea kwenye familia inayoamini kwamba ''education is better than Money''
Yaani hata kama kuna fursa ya Kuuza mchicha mtaani basi ukiifanya dharau na kejeli utakazokutana nazo sio za nchi hii.
Je? wewe mpaka sasa umejifunza nini kuhusu maisha????
Most people are in superficial relationships. Are they even relationships au maigizo! Usifanye hivi usifanye vile usiseme hiki usiseme kile
: Hakuna atakayekuja kubeba majukumu yako mwanzo niliamini watu wa karibu watakusaidia kumbe ilikuwa ni kwa sababu bado nipo chini ya uangalizi wa wazazi(Yani ukipata changamoto wao huibeba) , ukikua hakuna mtu atabeba shida zako (zikabili mwenyewe) rafiki na ndugu watasaidia ila wanakiwango Cha Kikomo Kuna muda wataacha. Ila mtoa Uzi namba 7 umeniacha banaWakuu poleni na Majukumu, moja kwa moja kwenye mada .
Binafsi Mpaka sasa nimejifunza haya hapa👇👇
1: Kama hutapambana kufanya kazi kwa bidi kutimiza ndoto zako mwenyewe, kuna mtu atakuajiri na kukupa kusudi.
2: Maisha hayangojei uwe sawa, amka kila siku na uendelee kusonga mbele.
3: Wathamini sana Watu wanaokusema na kukufuatilia Maisha yako
Maana si kazi rahisi Mtu kuacha Matatizo yake na Kuyabeba yako.
4: Kaka jitaidi kuwa Smart, piga pasi na kaperfume kwa mbali.
Kuna wanawake Shida yao ni Mwanaume Smart tu.😀😀
5: Brother Unampenda? Mwambie Akatae yaishe, kuliko kumtumia hizo HEY,HI,Umekula??,Karibu Chai, n.k(be straight to the point)
6: Kuna mpaka ‘’Mabadiliko ya tabia ya Nchi’’ halafu wewe bado unaamini huyo mpenzi wako hawezi badilika??? really😀😀
7: Umri wa Miaka 30 ni Miaka mingi sana Kukaa Ofisini huku ukisubiri kuambiwa ni kipi chakufanya.
8: Maisha ni bora 100% wakati hakuna mtu anajua chochote kukuhusu wewe.
9: Ugali dagaa ni chakula kitamu sana endapo usipozingatia harufu ya pilau kwa jirani yako.
10: Kadri Umri unavyoenda ndio nagundua kwa nini baba alikua hataki kufungulia redio kwa sauti kubwa, jamani KELELE na MADENI haviendani kabisa😀😀
Binafsi nimechelewa sana kujua ukweli kuhusu Maisha, hasa ukitokea kwenye familia inayoamini kwamba ''education is better than Money''
Yaani hata kama kuna fursa ya Kuuza mchicha mtaani basi ukiifanya dharau na kejeli utakazokutana nazo sio za nchi hii.
Je? wewe mpaka sasa umejifunza nini kuhusu maisha????
Kwenye maisha kila mtu anakuja ku accomplish assignment yake. Assignment yako ikiisha ni lazima ufe.Kwenye hili unanipa madam fikirishi,
Imagine kwa Imani ya sisi Wakristo na Wafilisiti,Yuda Iskarioti aliletwa duniani kwa lengo la kumsaliti Yesu🤔🤔 Ili maandiko yatimie.
Ni kweli kabisaaKwenye maisha kila mtu anakuja ku accomplish assignment yake. Assignment yako ikiisha ni lazima ufe.
Assignment ya Yuda Iskariot ilikuwa ni kumsaliti Yesu ili tupate kukombolewa. Alipomaliza assignment yake akafa.
Assignment ya Yesu ilikuwa kutukomboa kupitia mauti ya msalaba.
Assignment ya Yohana Mbatizaji ilikuwa ni kuitengeza njia ya Kristo, baada tu ya kumbatiza Yesu, Yohana alikatwa kichwa akafa
Maisha Ni kufanya Kazi
Kukaa mbali na Uzinzi
Pombe za kienyeji
Kula Sana vizuri
Vaa vizuri
Nenda uka-part
Sali muombe Mungu akufungulie njia